sio mpaka tujuane ndio maana huku hatutumii majina halisi na usisubiri aje kuwa mpiga mizinga enzi za utu uzima wake mwafrica amka.BhHH hahahah mzee punguza ushauri kwa watu usiowajua, wew sema simu yaishe
Sema Dinar inathamani sana!Kwa vile hujataja pesa gani, hebu tuchukulie hizo ni Dinari 500 za Kuweiti (=TZS 4,147,000).
Hapo utapata Iphone 16 Pro Max!