July Fourth
JF-Expert Member
- May 2, 2012
- 2,240
- 794
Wakuu eti charger original za laptop zinarenji kwenye sh. Ngapi?
Tatizo nililo nalo ni kwamba all of a sudden iyo charger iliacha kuchaji pindi naitmia. Then machine ikazima.. Nikaamua kuiwasha upya na ikaendelea{ikaresume} kupiga mzigo kama kawaida <nilikuwa nahamishia mafaili kwenye flash> na charge ilikuwa 0%.
So nikashut down na kuamua kudeal na charger. Nikaipiga kibao ikashtka na kuwaka kale kataa ka kijani, pale kwenye volts..
Lakini hapa kwenye laptop {iko off} ule mwanga unaonesha kwamba umekonekti charger unakonyeza konyeza. Yaani unawaka, unazima, unawaka, unazima. Nikiboot pc inataka kuwaka then inazima.. What could be the prob?
Nb:charger ni aina ya Zippys..nimeitumia jana usiku kucha kudownload season 1 ya nikita..
2. Alafu inasizi mpaka niipige pige..
Naombeni msaada wataalamu, na kwa wale waliowah kuexperience ili..
Nawasilisha