Ibrah
JF-Expert Member
- Mar 22, 2007
- 2,729
- 528
Nadhani amekusoma na kukuelewa. Kwa maneno mafupi ni; uwezekano wa kupata mimba mwanamke anaponyonyesha kila wakati ni mdogo mno. Pili, pateni ushauri wa daktari wa kina mama (gyna)Wala haina tatizo,kama ananyonyesha possibility ya kupata mimba ni ndogo ila ni vizuri akaenda kwa daktari haraka kupata njia muafaka ya kuzuia mimba.Hilo wazo la kwenda mbali ...acha kabisa.
..