kuzama kwa meli... Hivi hii serikali imelogwa na nan??

Aaron

JF-Expert Member
Nov 18, 2010
3,019
4,693
Meli iliyozama ni meli iliyonunuliwa na Tanzania kwa serikali ya marekani baada ya kugundulika hawezi kutoa huduma ya usafiri marekani... sasa wewe mtanzania unaweza kutengeneza ki2 kilichotelekezwa na USA.

star Tv
 
uategemea uingie magogoni kwa kuiba kura halafu usipata mikosi ..yaani mungu atakuwa mizigo mwanzo mwisho...
 
Back
Top Bottom