Habar zenu ndugu nina swali kuhusu kuwekwa kwenye database baada ya interview kwenye private sector.
Iko hivi, mtu kafanya interview baada ya mchujo akawa amefaulu interview ila akaambiwa kwa sasa hutaanza kazi ila baadaye tutakuita
Je, mliowahi kukaa kwenye database ilichukua muda gani kuitwa kazini?
Msaada