Kuwa makini na maoni ya wajumbe JF, changanya na zako

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
49,235
103,880
Kwa uchache sana nataka kutoa tahadhari kwenu kuhusu ushauri unaotolewa humu Jukwaa la Mapenzi.
Wajumbe wanatoa ushauri mwingi sana, lakini uchukue kwa tahadhari huku ukichanganya na akili zako. Ukiuchukua kama ulivyo unaweza kuharibikiwa vibaya sana. Jitegemee zaidi kwenye maamuzi ya mwisho badala ya kutegemea akili za kushikiwa. Kumbuka ukiharibikiwa sisi humu tutakuwa hatupo.

Mfano humu kuna Team Kataa ndoa inakuja na hoja na tena anasema kwa hisia kali sana. Sasa wewe bro upo 40 unachukua ushauri wao kama ulivyo, kesho unapatwa na maradhi mazito huna mke wa kukutawaza makalio. Shauri yako. Lakini wewe hawa jamaa unawajua? Take dont it too serious, kuna wengine wanakukataza kuoa wao wapo na wake zao wanakulana mashine.

Mimi hapa nakataza kutoa toa hela kwa mademu. Natokwa povu kama nini, lakini nikiwa na baby wangu nakata mshiko kama nimechanganyikiwa. Nahakikisha amependeza kama wale wa Insta. Mwanamke kumchuna men ni asili. Ipo toka enzi na enzi. Sasa wewe jichanganye ufuate comment yangu bila tahadhari uone kama kuna demu utadumu naye na ubahiri wako.

Mnaelewa nachosema?
Chukua maoni yetu kwa tahadhari
 
Kuanzia aya ya pili mpaka mwisho wa andiko utapata uungwaji mkono wa kishindo kutoka kwa kausha damu na wadangaji. Tuache kushambulia mtu tushambulie hoja iliyoletwa na mtu. Ndoa ni mkataba wa kitapeli kwa mwanaume ilo lipo wazi kabisa ukiisoma sheria ya ndoa kwaiyo ukija mjadala wa ndoa toa hoja zako kulingana na mjadala uliopo mezani kama ndoa ni nzuri toa sababu zako sio kumjadili mleta hoja kwamba na yeye ameoa au hajaoa na nani amekuambia uko ndoani ni mwanaume tu ndie anapata magonjwa na kuhitaji mke wa kumuhudumia? Hapa jirani ninapoishi kuna mzee anauguza mkewe mwaka wa 5 sasa hivi mkewe yupo kitandani amepooza na mzee ndie anamhudumia mkewe. Na kuhusu kutapanya pesa hili kumfuraisha mwanamke ni utumwa tu wa kushindwa kucontrol mboo yako. Everyday i tell you guys, don't let your dick lead you, these betches will use you as an idiot
 
Kwa uchache sana nataka kutoa tahadhari kwenu kuhusu ushauri unaotolewa humu Jukwaa la Mapenzi.
Wajumbe wanatoa ushauri mwingi sana, lakini uchukue kwa tahadhari huku ukichanganya na akili zako. Ukiuchukua kama ulivyo unaweza kuharibikiwa vibaya sana. Jitegemee zaidi kwenye maamuzi ya mwisho badala ya kutegemea akili za kushikiwa. Kumbuka ukiharibikiwa sisi humu tutakuwa hatupo.

Mfano humu kuna Team Kataa ndoa inakuja na hoja na tena anasema kwa hisia kali sana. Sasa wewe bro upo 40 unachukua ushauri wao kama ulivyo, kesho unapatwa na maradhi mazito huna mke wa kukutawaza makalio. Shauri yako. Lakini wewe hawa jamaa unawajua? Take dont it too serious, kuna wengine wanakukataza kuoa wao wapo na wake zao wanakulana mashine.

Mimi hapa nakataza kutoa toa hela kwa mademu. Natokwa povu kama nini, lakini nikiwa na baby wangu nakata mshiko kama nimechanganyikiwa. Nahakikisha amependeza kama wale wa Insta. Mwanamke kumchuna men ni asili. Ipo toka enzi na enzi. Sasa wewe jichanganye ufuate comment yangu bila tahadhari uone kama kuna demu utadumu naye na ubahiri wako.

Mnaelewa nachosema?
Chukua maoni yetu kwa tahadhari
Vipi kuhusu wenye maoni kitaalamu ya KIHASIBU? Hawa unawaongeleaje?
 
IMG_1225.jpg
 
Back
Top Bottom