Kuwa kwenye Siku (Mwezi)

Mimi aki nidanganya ata ishia kulamba riperemende hadi kuchwe!

mkuu nimecheka sana,kwa kifupi huyo siyo mstaarabu kabisa inatakiwa atoe taarifa juu ya "ugeni" wake.Inonesha hapo alikuwa na tamaa ya vyakula na vinywaji.Tamaa inawasumbua sana baadhi ya dada zetu
 
Nasubiria kujulishwa lol......hahahahah mjini hapa wifi bila kuwa bahili ntajenga mie?......mie ntafanya msimbazi 3 ili ujue kuwa wifiyo sijachacha tehe!

Wasimbazi watatu kabisaa? Umevumbua chimbo la uranium wewe, haiwezekani hivi hivi. Ghotofa likiisha ntakoma mbona?
 
.Inonesha hapo alikuwa na tamaa ya vyakula na vinywaji.Tamaa inawasumbua sana baadhi ya dada zetu


Hivi na ya vinywaji na vyakula nayo inaitwa tamaa ama ulafi tu kama sio njaa? Watu wazima wanatamanigi vyakula?
 
hahahaahahahahhahahahahhhahhahahhahahahhahahhahha kwa maelezo yako inaoneha hujafurahia kabisa yeye kula mapochopocho bila wewe kupata kitu pole mwaya
Kufanya sio lazima licha xa kuwa nimelipia chumba. Inatosha kufanya romance na kudiscuss mambo mbalimbali ya maisha yaweza kutosha tu. You will have had a good time together after a long time ofu separation. Lakini! Anapaswa anijulishe mapema kuhusu hali yake ili niamue mwenyewe kumwambia aje tu tupige story.
 
Kwa wanaume wenzangu,unakutana na mpenzi wako wa kike ambae hamjaonana siku nyingi,mnakubaliana kuwa mwende faragha sehemu mkapeane ma-vituz anakubali,unafanya booking ya chumba,na kabla ya hapo mnapata ma-misosi kama sio ma-vinywaji ya nguvu,inafikia muda mnaamua kuenda ndani na mkiwa huko ndani kabla hamjaanza ma-vituz mwenzio anakwambia yuko kwenye siku zake,kwa hiyo mpeane romance tu mtafanya siku nyingine,sijui wenzangu mnalionaje hili!
Kwa nini asikupe "BJ" tu?
 
hapo umenena coz inaonekana kilichomuuma ni kulipia menu,cjui hay ndio
yangekuwa malipo?hiv mtu Hawezi kumnunulia mpnz wake chakula na drinks
just out of love!had u expect sex as a reward!i wish Huyo dada angeisoma
hii thread

Mkuu there is no free lunch in this world
 
Mimi naona shida ipo. Kama issue ingekuwa kudiscuss kuna ulazima gani wa kuingia gharama wakati mnaweza kukaa hata kwenye open space au popote mkadiscuss. Huyo denu anaboa. Mtu umejiandaa kisaikolojia kula mavituzi roho inapenda halafu mtu anakukatili siyo fresh
Pole mkuu kwa kujiandaa na kukosa kumega tunda...... alipenda kuwa nawe faragha hakuona umuhimu wa kukwambia mapema labda kama ulimuliza akakubali kufika huko akabadili mawazo vinginevyo bado sioni shida hapo
 
Mi kwa upande wangu sioni kosa lolote la huyo binti.
Kwanza kama ni mpenzi wako kutoka out na yeye si lazima
msex hata kama alikuahidi.
Kama ni mpenzi wako, na hata kama hamjakutana siku nyingi,si lazima msex siku hiyo..
Unaonesha ni jinsi gani ulivyomroho. Na pengine ni ubahili unaokuliza kwa kumtoa out na kulipia chumba bila kupewa kitu..
Uwenda ni jambo lililojitokeza ghafla baada ya kukuahidi na kabla hamjakutana,na akahisi akikuambia utamwelewa,kumbe we umemfikiria vingine.
 
  • Thanks
Reactions: LD
Hili tatizo nimekutana nalo sana, na limenipasua kichwa sana, na nimewahi kurusha thread inafanana na yako....

siku hizi nimejifunza....ninapo date mwanamke sichukulii asilimia kubwa kupata hiyo kitu......akitoa dharura kama hizo

ww man ndio unaathirika, unatakiwa ufanye kama unacheza kamari, kukosa au kupata
 
Hakukwambia mapema cos anakujua ulivyobahili na alijua ungekanseli hayo manywaji na malaji, akaona ya nini....liwalo na liwe. Punguzeni ubahili jamani ili mahusiano yawe ya uwazi na ukweli.
 
eti wadada kwani ile kitu ina saa maalum ya kuanza?kwani haiwezekani mpaka anakula vyuku ilikuwa haijaanza?

stephot,kwa sisi ambao tuko ktk ndoa na tupo karibu sana na wenza wetu hakuna cha ajabu hapo.Mnaweza mkawa mmepanga toka mchana kuwa leo jioni patachimbika,jioni uko mezani unapiga dinner umemaliza unazama chumbani unapewa BREAKING NEWS mambo yameharibika dk chache zilizopita!na kwa vile unajua kabisa ulikuwa unawahi mambo kabla ya kuingia "likizo" inakuwa jambo la kawaida tu!

kuwa na imani na mpenzi wako kama hauna imani nae hutakaa uinjoi this thing they call LOVE.
 
kama unamaindi sana mtapishe basi kwenye mared hayo maana naona unayothamini kuliko hali ya mwenzako!!!aaghhhrrr!!!!!!!!!kaka sijui usaidiweje!!
Kwa wanaume wenzangu,unakutana na mpenzi wako wa kike ambae hamjaonana siku nyingi,mnakubaliana kuwa mwende faragha sehemu mkapeane ma-vituz anakubali,unafanya booking ya chumba,na kabla ya hapo mnapata ma-misosi kama sio ma-vinywaji ya nguvu,inafikia muda mnaamua kuenda ndani na mkiwa huko ndani kabla hamjaanza ma-vituz mwenzio anakwambia yuko kwenye siku zake,kwa hiyo mpeane romance tu mtafanya siku nyingine,sijui wenzangu mnalionaje hili!
 
Back
Top Bottom