Kuwa kwenye Siku (Mwezi)

stephot

JF-Expert Member
Mar 1, 2012
15,825
22,930
Kwa wanaume wenzangu,unakutana na mpenzi wako wa kike ambae hamjaonana siku nyingi,mnakubaliana kuwa mwende faragha sehemu mkapeane ma-vituz anakubali,unafanya booking ya chumba,na kabla ya hapo mnapata ma-misosi kama sio ma-vinywaji ya nguvu,inafikia muda mnaamua kuenda ndani na mkiwa huko ndani kabla hamjaanza ma-vituz mwenzio anakwambia yuko kwenye siku zake,kwa hiyo mpeane romance tu mtafanya siku nyingine,sijui wenzangu mnalionaje hili!
 
sasa unataka afanye hata akiwa kwenye siku zake.....kwani kuwa faragha ni lazima mavitu yafanyike
 
Sasa hapo mkuu unataka msaada gani
Au unaona uchungu kwa vitu alivyokula wakati huna uhakika wa kuwa nae faragha yako unayoisemea
Mheshimu nae ana nafasi yake na huo muda ni wake
Na sio hata kama umetoka out na m.tu wako lazima mfanye hilo kuna mengine ambayo mtayafanya kama wapenzi
Duh namuona babu Asprin hapo chini ngoja nikimbie Blaki Womani habari za masiku, mzima wewe
 
Last edited by a moderator:

mie mzima nasubiri mwaliko wa mbesi
 
Kufanya sio lazima licha xa kuwa nimelipia chumba. Inatosha kufanya romance na kudiscuss mambo mbalimbali ya maisha yaweza kutosha tu. You will have had a good time together after a long time ofu separation. Lakini! Anapaswa anijulishe mapema kuhusu hali yake ili niamue mwenyewe kumwambia aje tu tupige story.
 
Aiseee baba yangu we mtoa mada kama ni mpenzi wako wa dhati ni lazima ujue siku zake kwa mfano mimi mpezi wangu najuwa siku zake

ngoja niangalie calenda nimfate mpenzi wangu
 
mie mzima nasubiri mwaliko wa mbesi

Usiwe na shaka utaalikwa muda wake ukifika dear
nashukuru kwa uzima wako
Hebu washaurini vijana hawa ambao wanajua kukaa faragha na mpenzi/mchumba ni lazima wafanye mambo ya kiutu uzima aise
 
Kufanya sio lazima licha ya kuwa nimelipia chumba. Inatosha kufanya romance na kudiscuss mambo mbalimbali ya maisha yaweza kutosha tu. You will have had a good time together after a long time ofu separation. Lakini! Anapaswa anijulishe mapema kuhusu hali yake ili niamue mwenyewe kumwambia aje tu tupige story.
 
Usiwe na shaka utaalikwa muda wake ukifika dear
nashukuru kwa uzima wako
Hebu washaurini vijana hawa ambao wanajua kukaa faragha na mpenzi/mchumba ni lazima wafanye mambo ya kiutu uzima aise

nitakuja supu ikiwa ya moto......shida ni kwamba ukinunua vyakula/vinywaji mechi lazima iwepo.....kwanza ile kuwa faragha na mpenzi wako hata bila kingine ni furaha/raha tosha na mojawapo ya kuongelea mambo muhimu ya maendeleo ya baadae
 
"mnakubaliana kuwa mwende faragha sehemu mkapeane ma-vituz anakubali"Jamani nieleweni hapo.
 
Kufanya sio lazima licha ya kuwa nimelipia chumba. Inatosha kufanya romance na kudiscuss mambo mbalimbali ya maisha yaweza kutosha tu. You will have had a good time together after a long time ofu separation. Lakini! Anapaswa anijulishe mapema kuhusu hali yake ili niamue mwenyewe kumwambia aje tu tupige story.

Pole mkuu kwa kujiandaa na kukosa kumega tunda...... alipenda kuwa nawe faragha hakuona umuhimu wa kukwambia mapema labda kama ulimuliza akakubali kufika huko akabadili mawazo vinginevyo bado sioni shida hapo
 
Kufanya sio lazima licha ya kuwa nimelipia chumba. Inatosha kufanya romance na kudiscuss mambo mbalimbali ya maisha yaweza kutosha tu. You will have had a good time together after a long time ofu separation. Lakini! Anapaswa anijulishe mapema kuhusu hali yake ili niamue mwenyewe kumwambia aje tu tupige story.

Mkuu kuwa wazi tu (kwa red) kwamba alipaswa akujulishe ili usiingie gharama zote hizo
 
Back
Top Bottom