Kuwa first born sometimes ni shida

Nasaidia kama wanadamu wengine iwapo nina resource za kufanya hivyo

Nikiwa chini ya miaka 18 ni wajibu ya walionileta duniani kuhakikisha ninapata mahitaji yote ya binadamu

Kama sipati watu hao wanafanya kosa maana sijajileta duniani,wao wamenileta

Hivyo alienisaidia nikiwa below 18 infact wawadai wazazi wangu repayments

Siwajibiki kwa yeyote na jamii hii inafeli inapofanya mahusiano ya wanadamu kama repayments

Huwezi deprive my earning energy for my kids kukufanyia wewe kazi za kulea watoto wako binafsi eti nitapata "baraka"

Kama ni hivyo hizo baraka zichukue wewe zikusaidie kulea hao watoto wako uliowaleta kwa kufanya ngono bila kuelewa wanahitaji mahitaji na sio kwenda kuiba nguvu za wanadamu wengine wakulelee!

We jamaa bwana!

Haujisikii fahari kuwasaidia wazazi majukumu kwa kuwasaidia wadogo zako wa damu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
20210727_124226.jpg
 
Unachofanya hapo ni kuiba mali za watoto wako kuwapa wanadamu wengine ili kujijengea personal glory on their expense!

Pili,kutoa msaada pahali ukajisikia "fahari" ni ugonjwa unaitwa "Social Narcissism"

Unafuja mali za familia na watoto wako kujipa jukumu la kuendesha maisha ya wanadamu wengine ili ujisikie "fahari" moyoni mwako ni wizi na not fair kwa wahusika wa familia yako

Solution hapa duniani ni kila mwanadamu aendeshe maisha yake binafsi na kua responsible kwake yeye binafsi na dependants wake wanao muhusu

Mwanadamu akiamua kutoa msaada kwa mwanadamu mwingine iwe ni hiyari na sio iwe social na religious pressured!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nani kakudanganya?

Mungu yupo hapa duniani ku-reward uonevu?

Yaani wewe ufanye uzembe wako,uhamishie majukumu yako kwa wanadamu wengine wasiohusika then mungu akusaidie ku-reward hao watu unawaonea?

Huyo mungu ni mpumbavu na anasaidia katika uonevu wa watu wasio na makosa

Wazazi hawana uwezo wavune walichopanda wao maana ni maamuzi yao wao binafsi kujiletea yanayowakuta

Kama kuna natural calamities kama ulemavu,vifo,magonjwa makubwa,etc hapo tunaweza ongea and still nina hoja ya kupangua huo upumbavu

Hii virtue binadamu waliyopewa na dini yakua kila binadamu ni sacrificial lamb kwa mwanadamu mwenzie ni very very bad idea
Ha ha ha

Kwahiyo huu ni unyonyaji kama unyonyaji mwingine?
 
First born lazima asulubike ata kama yupo peke yake...haiwezekana first born aharibu titi la mama na baadhi ya viungo vyake afu akikuwa mkubwa eti anataka asisulubishwe....

Ukiwa me ndo usisemeee
Ha ha ha ha afuu kweli wallah
 
Ungejua...Ila umetutukana
Mkuu wachunguze... Yanadeka hataree

Mi naliona dogo linalonifata ni la mwisho yaan yule nati zimelegea..

Thanx God wazazi wangu wasingefanya makaratee huo utopolooo ungeniangukia mimi
 
Akina viziwanda tupo hapa..😀
Kwani tuliwalazimisha muwahi si mlikuwa mnakimbia kwa spidi kule nanilii mkatuacha!.. tuleeni tu.
 
Nasaidia kama wanadamu wengine iwapo nina resource za kufanya hivyo

Nikiwa chini ya miaka 18 ni wajibu ya walionileta duniani kuhakikisha ninapata mahitaji yote ya binadamu

Kama sipati watu hao wanafanya kosa maana sijajileta duniani,wao wamenileta

Hivyo alienisaidia nikiwa below 18 infact wawadai wazazi wangu repayments

Siwajibiki kwa yeyote na jamii hii inafeli inapofanya mahusiano ya wanadamu kama repayments

Huwezi deprive my earning energy for my kids kukufanyia wewe kazi za kulea watoto wako binafsi eti nitapata "baraka"

Kama ni hivyo hizo baraka zichukue wewe zikusaidie kulea hao watoto wako uliowaleta kwa kufanya ngono bila kuelewa wanahitaji mahitaji na sio kwenda kuiba nguvu za wanadamu wengine wakulelee!
Ha ha ha

Piga kelele akeee kwa Wyatt...weuweeeeeee

Saint Anne Hizo baraka zichukue wewe zikusaidie kulea watoto wako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom