Grena
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 657
- 1,543
- Thread starter
- #41
Me mdogo wangu kaniblock kwenye social media zake zote kisa nlikuwa namfatilia akipost nakwambia unaacha kusoma Kazi kupost. Lakini akiwa na shida msaada wa mawazo au kifedha kimbilio lake ndo Mimi.Mi first born ila kuna huyu dogo ni mtukutu nimempa kipondo mpaka hataki kuniona madogo wakizingua lawama zinakuja kwetu zote sasa ilo sipo tayari nitamyoosha sawia tens barabara, niligoroga sabuni ya unga nikatia pilipil kwa mbaalii nikamloesha nikamlamba waya mpaka nikamuonea huruma