Kuvaa night dress

hao hawaniumiz kichwa hata kidogo. by the way mzima lakni this asbh?
Mie mzima kabisa.... naelekea baharini kuvua samaki. Nikupitishie nikirudi? Haya nijalie hali ya wakwe zangu. Hali yako utaniambia kwenye jukwaa la wakubwa kule...:A S 100:
 
Upande wa kinababa je? Binafsi siwezi kulala bila kifuniko,reason: likitokea la kutokea usiku ( labda mwizi kavamia) ndo nikurupuke uchi? Hili alinifundisha baba yangu ( RIP).
 
Mie mzima kabisa.... naelekea baharini kuvua samaki. Nikupitishie nikirudi? Haya nijalie hali ya wakwe zangu. Hali yako utaniambia kwenye jukwaa la wakubwa kule...:A S 100:

wakwezo wazima leo hawakwend shule grade 7 wanafanya mock so huko home ni full fujo leo
 
kulala na nguo jeans naona si sawa ila kwa night dress nyepesi ni sawa maana usiku kuna mengi unaweza situkia wezi wanaingia huwezi kuanza kutafuta nguo kikubwa nikutafuta njia ya kupambana au kujinusuru/msaada ili uepukane na dhoruba itakayokuwa inafanywa na wezi
 
hahahahahaha!! Asprin you have made ma day lol. Nan huyo anatongoza avatar?
 
Last edited by a moderator:
Shauri yako inbox ya PM yako ikijaa mitongozo. Kuna midume huku inatongoza mpaka avatar.:sick:
Hehehe babu asprin hii ni kubwa kuliko! wanatongoza mpaka avatar!!??? mmhhh hao wanatisha, wapo juu kama avatar yangu(kilimanjaro mountain). sasa avatar ya leroy utaitongozaje mtu jamani??
 
ukiona ivo mwenzio hatak kutoa huduma siku hiyoo...na kama ni kawaida yake basi umnunulie na umwonyeshe nyt dress ndo hi mama ...sawa?:madgrin:
 
kulala na nguo jeans naona si sawa ila kwa night dress nyepesi ni sawa maana usiku kuna mengi unaweza situkia wezi wanaingia huwezi kuanza kutafuta nguo kikubwa nikutafuta njia ya kupambana au kujinusuru/msaada ili uepukane na dhoruba itakayokuwa inafanywa na wezi

kuishi kwa kutegemea haya ya lolote linaweza tokea alafu kilasiku nadhani ni tabu kubwa, nadhani wale wanaoishi maeneo kama jangwani watakuwa wameweka vitanda milangoni kabisa
 
Kuva night dres kisa wezi? Mbona hajawah kuvamiwa? Km ndo hivyo amwajili askari awe mlinz wa k yake sababu hamwamin mume wake. Sijaona sababu ya kuvaa night dres hapa. Kwani mashuka hamna?
 
Back
Top Bottom