Kuvaa night dress

Wanajamii f, leo naomba tuwekane sawa kuhusu mavaz ya night dress kwa wanawake, ni sahihi kwa mwanamke aliye kwenye ndoa kuvaa nguo wakat wa usiku tena suruali ya jinsi au vinginevyo kila siku kwa madai ni night dress? Je inaleta tija kwa mwanaume?

Silk-Short-Night-Gown.jpg

Umemwona huyo hapo juu?

Na hapo je?

nightdress-for-sleeping.jpg

Na hii?
night-dress-772.jpg

Mambo ya kulala na jinsi Marufuku kuanzia leo sawa? Hata kama mpo mufindi, wenzenu walienda Davos pakiwa na joto la minus na wakalala na wakina dada wakiwa hivyo. . . . .
 
Wanajamii f, leo naomba tuwekane sawa kuhusu mavaz ya night dress kwa wanawake, ni sahihi kwa mwanamke aliye kwenye ndoa kuvaa nguo wakat wa usiku tena suruali ya jinsi au vinginevyo kila siku kwa madai ni night dress? Je inaleta tija kwa mwanaume?

Unajua maana ya tija we mchaga?

Matatizo yenu ya ndoa jaribuni kuanzia kwa wasimamizi wenu. Kama mkeo anavaa jinsi si anavaa ili apendeze mkiwa kitandani!

Juzi mwenzako kaja hapa anauliza mafuta ya kulainisha uchi wa mkewe, akimaaanisha ni MGUMU mno. Nikamshauri atumia 20W50 tena za BP ndio nzuri, hata Visco DalaDala ingemfaa
 
Haya karibu kwetu uvae suruali kama hujatimuliwa, unacheza na Wasomali wewe.
 
Wanajamii f, leo naomba tuwekane sawa kuhusu mavaz ya night dress kwa wanawake, ni sahihi kwa mwanamke aliye kwenye ndoa kuvaa nguo wakat wa usiku tena suruali ya jinsi au vinginevyo kila siku kwa madai ni night dress? Je inaleta tija kwa mwanaume?

Utakuwa unamfanyia rafu bana!
 
Msichanganye ndoa zote duniani zikawa na sheria moja, kuna tamaduni na taste mbalimbali kama watu tulivyo pia tofauti, sie kwetu kulala uchi ni uhuni, ni kama uswahili fulani hivi,
hata kitanda cha mama na baba ni tofauti, mama analala na watoto. Baba peke yake.
Haya ni mambo ya kuiga tu, sasa sehemu yenye baridi inakuwaje? Mie najua kukiwa na joto tafuta nguo light comfortable na ya kuongeza mvuto kama uko na baba siku hiyo, kipindi cha baridi pia hivyo hivyo ila yenye joto.
 
Hiyo kali! huyo hajafanyiwa chicken party! kitandani na jeans! hata ukiwa pekee huwezi lala na jeans labda kama unaogopa kutembelewa na popobawa. Mwambie aingie hapa JF tumpe somo huyo
 
kulala na nguo kuna sababu nyingi ndo kama hizo.............
lakino kisa cha kubanwabanwa na mijinguo kitandani n'nini....?!?!.....bughudha tuuu:crazy:
 
Wanajamii f, leo naomba tuwekane sawa kuhusu mavaz ya night dress kwa wanawake, ni sahihi kwa mwanamke aliye kwenye ndoa kuvaa nguo wakat wa usiku tena suruali ya jinsi au vinginevyo kila siku kwa madai ni night dress? Je inaleta tija kwa mwanaume?

Kuvaa hiyo kitu haileti tija asee, but night dress mwake maana inaleta mshawasha wa mambo yetu ile.
 
Ndoa ni chama cha walala uchii, niliisikia hii salon.
Na ndio chama chenye wana-chama kila kona dunia,na wafuasi(ambao awaja oa/kuolewa ila wanashrk tendo).Hiki chama kina gharama kulko vingne vyote,pia kina matumizi mabaya thana ila wa2 hawalaumu.
 
Ndoa ni chama cha walala uchii, niliisikia hii salon.
Na ndio chama chenye wana-chama kila kona dunia,na wafuasi(ambao awaja oa/kuolewa ila wanashrk tendo).Hiki chama kina gharama kulko vingne vyote,pia kina matumizi makubwa ya pesa thana ila wa2 hawalaumu.
 
Back
Top Bottom