Kuuza Figo kwa Tsh 250 Milioni

Habarini wakuu, baada ya kuambiwa hilo dili nimebaki kujiuliza maswali
mawili ambayo naomba msaada wenu.
1.Nini madhara ya kuishi na figo moja?
2. Ni mambo gani ya kuchunga ili uweze kuishi vema na figo moja?

Majibu yenu yatanipa mwanga ili niweze kufanya uamuzi wa busara.
mm sina cha kujiuliza niunge humo kwa bei hyo natoa na nyongo sitaki kukasirika tena baada ya hapo
 
Duh jamani hata huku kwetu kuna mwanamke figo zote mbili zimefeli sasa mumewe ameambiwa amtolee moja mkewe kagoma ikabidi mama mzazi wa mgonjwa ajitolee ila bado hawajasafiri kwenda India tatizo pesa!
India kwanini tena siku hizi Muhimbili wanafanya huo upandikizaji
 
Hizi nazo watoe tu nina vijana wanao tosha kabisa kuwaachia hzo pesa wakagawana bila ugomvi ila waache ngoma ikiwa juu juu ni malizie mapambano yaliyo salia maana itakua kama nimefunga kizazi tu
Zaga ni mapum..u ndio atamalizia kuuza
 
Body parts sio spare parts za magari its not worth trying ila mwenye maamuzi ni wewe mwenyewe na mwili wako all the best
 
Habarini wakuu, baada ya kuambiwa hilo dili nimebaki kujiuliza maswali
mawili ambayo naomba msaada wenu.
1.Nini madhara ya kuishi na figo moja?
2. Ni mambo gani ya kuchunga ili uweze kuishi vema na figo moja?

Majibu yenu yatanipa mwanga ili niweze kufanya uamuzi wa busara.
kwani vyanzo vingine vya kutafuta pesa hakuna
 
Siwezi kuuza Figo yangu hata niwenazo 3

nisawa nakujivika mabomu nakujiripua ili familia ipate Pesa
 
★Nishagajiuliza na nikajua kwnini zipo mbili zipo mbili kwa lengo la kusaidizana majukumu ya kutumikia mwili nazani nishakujibu afu Kama unajua sasa hivi kwenye soko zinauzwa Pesa ngapi niambie tu Mkuu★
jiulize kwanza kwanini uzaliwe na figo mbili
 
Habarini wakuu, baada ya kuambiwa hilo dili nimebaki kujiuliza maswali
mawili ambayo naomba msaada wenu.
1.Nini madhara ya kuishi na figo moja?
2. Ni mambo gani ya kuchunga ili uweze kuishi vema na figo moja?

Majibu yenu yatanipa mwanga ili niweze kufanya uamuzi wa busara.
Hey mkuu
 
Habarini wakuu, baada ya kuambiwa hilo dili nimebaki kujiuliza maswali
mawili ambayo naomba msaada wenu.

1. Nini madhara ya kuishi na figo moja?

2. Ni mambo gani ya kuchunga ili uweze kuishi vema na figo moja?

Majibu yenu yatanipa mwanga ili niweze kufanya uamuzi wa busara.
Siku hizi figo za nguruwe zinatosha
 
Back
Top Bottom