Kuundwa kwa idara mpya ndani ya idara ya afya

Ng'wanambula

Senior Member
Oct 2, 2011
197
53
Waana jf naomba ufafanuzi kwa wale wanaofahamu kuhusu hili suala la kuundwa kwa idara mpya ndani ya idara ya afya iliyokuwa chini ya DMOs.Nani anafahamu hiyo idara itaitwaje na itakuwa na vitengo gani?Maana nimesikia maafisa wa afya ndio wataongoza idara hiyo ambayo kimsingi itakuya inadeal na kinga na mkuu wa idara atakuwa afisa afya na siyo daktari kama ilivyo sasa.Huyo mkuu wa hiyo idara mpya ambaye ni health officer anatakiwa kuwa na qualification gani?Maana kuna mizee ina diploma tu kwenye halmashauri zetu na imeng'ang'ania madaraka wakati kuna vijana wana Bachelor za environmental health na wengine masters lakini hawapewi nafasi.
 
Ninacho jua mimi ni idara ya usafi na mazingira na wamezimega katika idara mbili za afya na maliasili na mazingira.mkuu wa idara bado hajajulikana anatoka katika fani gani.kingine hakuna fungu mpaka mwaka ujao wa fedha.
 
Wewe Kaaa inaonekana una details kuhusu hili kuliko mimi, kuna haja ya kukufahamu zaidi maana inaonekana uko kwenye fani ya afya kama mimi.Thanks for your concerns
 
Back
Top Bottom