tindikalikali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 4,855
- 1,117
Hivi ni kweli kwamba ukimuumiza mtu ni lazima na wewe uje kuumizwa? Ikiwa ni kweli vipi huyu anayekuumiza, inawezekana analipa yale uliyoyafanya zamani? Ikiwa ni hivyo, inawezekana muumizaji asiwe na kosa kwa kuwa muumizwaji alishaumiza wengine? Tujadiliane hili wadau, kwani nilishaumiza na nikaumizwa, sijui mwisho wake ni nini.