Kuuawa kwa Veronica: Je kilikuwa ni kifo cha kujitakia……………?

So sad,
Huyu mama alikuwa ni mama wa aina yake.
Mh matukio yote yakutisha aliyokuwa akiexperience bado alikataa ulinzi.
Ya wezekana alikuwa sawa maana ukianza kuwa na ulinzi tena uhuru umekwisha.

Lakini kitendo chakwenda kwa jamabazi peke yake mh ni zaidi ya jasili.

Thanks Mtambuzi tunajifunza mengi zaidi kuwa hawa waharifu hawapendi kufuatiliwa na kama umeamua kuwafuatilia uwe makini sana na pia nivyema kujua kuwa ukiamua kuwa uandeal na hawa watu ujue maisha yako yako hatarini sana, kwani hawa watu wako nje na ndani ya serikali zetu.

Na katika nchi nyingi hawa ndio wanaoweka viongozi madarakani.
R.I.P Veronica mama shupavu na aliyekuwa si mwoga hata pale alipotishiwa maisha.
 
Last edited by a moderator:
Kisa cha kusisimua.

Ila sikujua kuwa kuwa mwandishi mahiri si mpaka usomee uandishi. Kumbe na mie naweza badili fani.lol.

Nachoona hapa ni kuwa kuna nchi ziko corrupt na si kuwa vyote alivyokuwa anaandika Veronica vilikuwa ni news kwa serikali, ila alikuwa anawa force ku act. Sidhani kabisa eti serikali ishindwe kujua uovu wa wanachi wake pamoja na kuwa na intelijensia afu mtu mmoja aweze. Unajua Umafia kwa nchi za ulaya huko mpaka kwenye system. Unakuta ministers wakuu wa polisi wako kwenye payroll za wauza madawa
 
Bro Mtambuzi vipi za kupoteana mkuu wangu??

Ahsante sana kwa kisa matata...

Mkuu The Listener amemaliza kila kitu kwenye udadavuzi wake

Tuko pamoja
Mkuu jouneGwalu mie nipo, na nilikuwa na uhakika kabisa kwmaba hupitwi na makala za crime investigations humun JF kila Ijumaa.................
Bado ninafanya jitihada za kuwapatia kesi za hapa nchini, na ninapata ushirikiano mzuri kutoka sehemu husika, na nikifanikiwa nitakuwa naziweka hapa, kwa sasa nitaendelea kuwaletea za nje ambazo zinapatikana mtandaoni kirahisi zaidi.
hata hivyo naamini kwamba mnapata elimu ya uhalifu na consequences zake...................

Pamoja Daima
 
Last edited by a moderator:
Wako kweli, lakini si kwa majina yao halisi...corruption iko ya aina nyingi, na ina majina lukuki. Imebatizwa kwa maji mengi..yaani imezama sana kiasi kwamba hata ukiwachukua intelijensia wa huko kwetu hawatagundua kama ni corruption, bali wataibatiza upya au itatungiwa sheria ya kuihalalisha kabisa.
 
Siku zote mwenye kutaka kufanya ulimwengu uwe katika hali nzuri upingwa, na wahusika kupata hisia za kwamba yu anawasabababishia hasara ama kuwaharibia maisha yao, kifo cha veronika ni cha kusitkitisha na cha kinyama,hakustahiri hilo kifo cha namna hiyo. ila ndo hivo ukijifanya yu mwema sana utaandamwa mpaka wakupoteze, pole kwa familia na mwenyezi mungu hailaze roho yake mahali pema peponi. Amin
 
Ujasiri wa mama huyu wa kutokuogopa KIFO cha dhahiri kwa kutoa habari za watu hatari ambao ni wauza madawa ya kulevya ni cha ushujaa na upendo kwa watu wengine maana taarifa zake bila shaka zilikuwa zinaisaidia serikali kupambana na wahalifu hao. Moyo na upendo wa mama huyu napenda kuufananisha na ule ulioonyeshwa na bwana YESU kristo kwa kufa msalabani ili wote wenye dhambi (wakiiwemo na waliomuua Veronica) waokolewe. Mungu ailaze mahali pema roho yake
 
Back
Top Bottom