Kutumia Mbwa kwa ulinzi ni kujidanganya

For truly mbwa anaweza kusaidia sawa lkn kumbuka binadamu ana akili kushinda mbwa! mtego kidogo tu kanasa wewe umo ndani kwishneh!
kwa 50% naweza kumtrust mbwa.
Tunaposema mbwa tuna maanisha mbwa sio koko.
 
labda na sisi tunaoishi vijijini huku tunakofuga mifugo ya kila aina tutoe experience zetu..
mimi baba yangu enzi alipokuwa na ng'ombe 300, mbuzi 100 na kitu na kondoo wa kutosha,
tulikuwa na mbwa wapatao 50, wakiwa wamegawanyika katika makundi 5 mpaka 7, kulingana na nyumba..
zizi likiwa liko katikati ya nyumba 10 za nyasi, mwisho wa kuingia nyumbani ilikuwa saa kumi na moja jioni,
mji wa mfugaji huwa kwenye alert muda wote kuhofia wizi, hasa kutoka kwa wakurya!
Kwa kweli mbwa wale walikuwa on masaa 24 wakiwa wanalinda mji, usiku walikuwa wanabweka sana mpaka kutoa msaada kwa majirani.
Kwa kweli pamoja na kwamba baba alikuwa anamiliki short gun, lakini hatukuwahi kuibiwa mifugo kutokana na hii primary defense guard ya mbwa.
Tulikuwa tunawalisha vizuri, matibabu wanapata sana kila baada ya miezi 3-6.
Mpaka sasa pamoja na kwamba mifugo ilifujwa sana na vijana baada ya mzazi baba kufariki, nawapa heko sana mbwa wetu akina serengeti mzee wa kuwinda nyumbu, kibiniko mzee wa kung'ata bila kubweka na wengineo wote.
Nawasilisha!
 
Kuna watu wabishi ila hawaja wahi kufuga hata KUKU
 
Kuna mbwa hawali kitu kilichotupwa chini mpaka kwenye sahani yao tu na kwa mda maalumu.
sikatai ila mbwa anatii zaidi akiwa na mwenyeji wake but ndani ya fensi tajiri kalala hata ukimtupia jiwe lazima alifute na kuling`ata kwa hasira....sasa utafute ka mshikaki laini kenye harufu ukapakaze ugoro then unachomoa kipande unamtupia akipeleka pua karibu achomoi ndugu.....mbwa hawa hawana dhamana...
 
Kama mtu ana nia ya kukuibia, kukudhuru au kukufanyia kitu chochote kibaya atafanya hivyo haijalishi unafuga mbwa au la.

Nina jirani yangu ana jeshi la German Shepherd nyumbani kwake na ulinzi wa Ultimate Security ila wazee wa kazi wameshatia timu zaidi ya mara 3.

Mwingine ana fuga mbwa ila wamechukua kuku 20 bila shida yeyote.
Hivi ukiwa na mbwa wanzuia nini kwa mtu mwenye bastola au bunduki?
Mantiki hasa ya kufuga mbwa ni ipi?

Tueleweshane.

Mbwa ni alarm! Kinachofuata ni kushirikiana nao kuondoa ajizi!
 
Wewe hujakutana na mbwa wewe!! Harafu jua mbwa sio ukuta..mbwa wanasaidia kuku alert juu ya wezi au wavamizi sasa sio unalaa kama pono kisa nje kuna mbwa,.. pia tambua kuna mbwa na viumbwa. Km unataka kuona mbwa wa maana wa ulinzi hapa tanzania watafute @ King Dawgz
Screenshot_20201006-141836_Chrome.jpg
Screenshot_20201006-143552_FMWhatsApp.jpg
 
Back
Top Bottom