Kutokwa na hedhi mara mbili kwa mwezi kuna sababishwa na nini?

AbuuMaryam

JF-Expert Member
Dec 26, 2015
2,537
4,517
Naomba msaada jamani kuna binti amebleed mara mbili kwenye mwezi mmoja tena hana hata week sasa hivi anahisi dalili za bleed tena sasa hajabadili msosi wala mazingira sasa tatizo la bleed kama hiyo ni nini na litatuliwaje..?
 
Je anatumia njia ipi ya uzazi wa mpango? Alitoa mimba siku za karibuni?
 
Huyo Ana PCOS kwahiyo atumie dawa hizi atapona.tablets duphaston 40mg stat then 20mg tds 14/7,tablets metformin 500mg bid 6/12,na Coc tablets 1×1×6/12 atapona vizuri kabisa

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Naomba msaada jamani... KUNA BINT AMEBLEED MARA MBILI KWENYE MWEZI MMOJA TENA HANA HATA WEEK SASA HIVI ANAHISI DALILI ZA BLEED TENA...SASA HAJABADILI MSOS WALA MAZINGIRA.

Sasa TATIZO LA BLEED KAMA HIYO NI NINI NA LITATULIWAJE..?
Akitumia Dawa za Hospitali hajapona nitafute mimi nipate kumtibia ili aweze kupona.
Ukiwa na Shida yoyote ile
Usipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu. Au boonyeza hapa.Mzizi Mkavu
 
Nakushauri afya ya Uzazi Ina utata mwingi.Nenda kumuone daktari bingwa wa magonjwa ya kina mama ili akusaidie kwa kuzingatia utaalamu wake na matokeo ya vipimo.
 
hizi duphaston kazi yake ni nini hasa

Duphaston tablets 10mg contain dydrogesterone, a synthetic progesterone, used to treat a variety of conditions resulting from a lack of endogenous (naturally produced) progesterone, including menstrual disorders and endometriosis, and for hormone replacement therapy (HRT) and transgender hormone therapy.
 
Maombi pia Ni muhimu,maana zipo pia kesi za namna hiyo zimetatuliwa kwa maombi hususan kama Kuna vihatarishi vya nguvu za giza
 
Duphaston tablets 10mg contain dydrogesterone, a synthetic progesterone, used to treat a variety of conditions resulting from a lack of endogenous (naturally produced) progesterone, including menstrual disorders and endometriosis, and for hormone replacement therapy (HRT) and transgender hormone therapy.
makadirio kama Sh ngapi
 
ana umri gani? kaanza kupata hedhi akiwa na miaka mingapi? amewahi kutoa mimba karibuni? na je anatumia uzazi wa mpango? (kama ndio, njia ipi)

kwa uanzia pia mwambie afanye ultrasound scan ya abdomen na pelvic afu leta majibu yake
 
Nakushauri afya ya Uzazi Ina utata mwingi.Nenda kumuone daktari bingwa wa magonjwa ya kina mama ili akusaidie kwa kuzingatia utaalamu wake na matokeo ya vipimo.
Mm namshauri yeye na wengine ukiwa unaumwa nendeni hosp jamani... kama huyu uzazi ukiuchezea utakuja kuta mtu anakosa kids mbeleni..
NB: nenda hosp kwa usalama wa afya yako.
 
Back
Top Bottom