Kutokomaa kisiasa kutaiua CHADEMA

Kama wewe ni 'critical observe' utajibu swali hili: hivi kati ya Chadema na CCM kipi ni chama cha upinzani? Naomba uniambie chama x ni tawala kwa sababu hizi na hizi na chama y ni cha upinzani kwa sababu hizi na hizi. Right! Maana naona umeyavulia maji nguo.

Ukitumia masaburi utapata shida sana kujiuliza maswali kama unavyofanya. Sasa hili nalo swali au umezoea ku**waza wenzako?
 
Mengi yamesemwa kuhusu Chadema chama ambacho kilionekana kuwa kingeleta upinzani wa kweli kwenye ulingo wa siasa.
Lakini baada ya mambo kadhaa ya yaliofanywa na Chadema ambayo yamedhihirisha dhamira yao ya kutaka kutaka kuongoza nchi kwa kutumia mbinu chafu.

Nyingi zimeshajulikana nisingependa sana kuzirudia maana zinajulikana haswa lile la kushawishi madaktari wagome hata kwa kutumia madaktari wasioajiliwa na wanachama wao wakashawishi mgomo…..

Na sababu kuu ya mgomo kwa nini wabunge wanapokea pesa nyingi kulko wao(Ikumbukwe katika wabunge hao kuna wengine wa Chadema ambao nao wanapokea pesa na kila kitu cha bunge na hawasemi kama pesa hizi nyingi)

Sasa basi kumekuwa na mtindo wa wana Chadema kupita mitaani na kutaka kununua mashina ya CUF ambayo kwa sasa yanaonekana hayana uhai..wana Chadema hao ambao wanapita usiku na wote kama kawaida yao wa Kaskazini yaani ukikutana nao utasikia INji hii (badala ya nchi hii).

Nilibahatika nao kukutana nao Yombo Kiembe samaki wakitaka kununua shina kwa laki moja na kushawishi wanachama wa CUF wajiunge,kwa hili hawakufanikiwa ila huu mchezo mchafu hautowasaidia…CUF nayo inabidi kutambua kuwa wilaya ya temeke watauzwa kwa shs 100,000/- tu.

Hii mbinu ni moja ya mapungufu ambayo yataimaliza Chadema kabla ya 2015 kwani wameshindwa kuzungumza sera zao na sasa wanatumia pesa ambazo hazijulikani zimetoka wapi……..
Hakuna marefu yaso na ncha, wewe unaweweseka nini?
 
pumba zako kawape ng'ombe wa baba yako wale maana wamekonda sana
 
Hiyo posho ulopewa kuja kuandika hii upuuzi ulipunjwa, rudi akuongezee pengine na akili yako itaongezeka halafu urudi utuandikie kitu chenye akili
 
Na majibu ya hoja yako ni T 2015 CDM.naombeni namba ya m pesa tutume michango yetu kuendeleza ukombozi
 
Mengi yamesemwa kuhusu Chadema chama ambacho kilionekana kuwa kingeleta upinzani wa kweli kwenye ulingo wa siasa.
Lakini baada ya mambo kadhaa ya yaliofanywa na Chadema ambayo yamedhihirisha dhamira yao ya kutaka kutaka kuongoza nchi kwa kutumia mbinu chafu.

Nyingi zimeshajulikana nisingependa sana kuzirudia maana zinajulikana haswa lile la kushawishi madaktari wagome hata kwa kutumia madaktari wasioajiliwa na wanachama wao wakashawishi mgomo…..

Na sababu kuu ya mgomo kwa nini wabunge wanapokea pesa nyingi kulko wao(Ikumbukwe katika wabunge hao kuna wengine wa Chadema ambao nao wanapokea pesa na kila kitu cha bunge na hawasemi kama pesa hizi nyingi)

Sasa basi kumekuwa na mtindo wa wana Chadema kupita mitaani na kutaka kununua mashina ya CUF ambayo kwa sasa yanaonekana hayana uhai..wana Chadema hao ambao wanapita usiku na wote kama kawaida yao wa Kaskazini yaani ukikutana nao utasikia INji hii (badala ya nchi hii).

Nilibahatika nao kukutana nao Yombo Kiembe samaki wakitaka kununua shina kwa laki moja na kushawishi wanachama wa CUF wajiunge,kwa hili hawakufanikiwa ila huu mchezo mchafu hautowasaidia…CUF nayo inabidi kutambua kuwa wilaya ya temeke watauzwa kwa shs 100,000/- tu.

Hii mbinu ni moja ya mapungufu ambayo yataimaliza Chadema kabla ya 2015 kwani wameshindwa kuzungumza sera zao na sasa wanatumia pesa ambazo hazijulikani zimetoka wapi……..

Umeandika kiushabiki/umeandika uongo unaonezwa na hao ccm waliokutuma,kwenye taifa lenye matatizo mengi ya kufikiri kuyatatua kijana kama wewe hautufai kukalia uongo ushindwe na ulegee!!!!.
 
Wameshikwa pabaya mapovu yanaendelea kuwatoka 2015 mapovu ya damu yatawatoka kama watashindwa kujoin kwani kufight wameshafeli
Tafuta lingine huwezi kumbadili mwenye kutumia ubongo kwa propaganda
 
Mengi yamesemwa kuhusu Chadema chama ambacho kilionekana kuwa kingeleta upinzani wa kweli kwenye ulingo wa siasa.
Lakini baada ya mambo kadhaa ya yaliofanywa na Chadema ambayo yamedhihirisha dhamira yao ya kutaka kutaka kuongoza nchi kwa kutumia mbinu chafu.

Nyingi zimeshajulikana nisingependa sana kuzirudia maana zinajulikana haswa lile la kushawishi madaktari wagome hata kwa kutumia madaktari wasioajiliwa na wanachama wao wakashawishi mgomo…..

Na sababu kuu ya mgomo kwa nini wabunge wanapokea pesa nyingi kulko wao(Ikumbukwe katika wabunge hao kuna wengine wa Chadema ambao nao wanapokea pesa na kila kitu cha bunge na hawasemi kama pesa hizi nyingi)

Sasa basi kumekuwa na mtindo wa wana Chadema kupita mitaani na kutaka kununua mashina ya CUF ambayo kwa sasa yanaonekana hayana uhai..wana Chadema hao ambao wanapita usiku na wote kama kawaida yao wa Kaskazini yaani ukikutana nao utasikia INji hii (badala ya nchi hii).

Nilibahatika nao kukutana nao Yombo Kiembe samaki wakitaka kununua shina kwa laki moja na kushawishi wanachama wa CUF wajiunge,kwa hili hawakufanikiwa ila huu mchezo mchafu hautowasaidia…CUF nayo inabidi kutambua kuwa wilaya ya temeke watauzwa kwa shs 100,000/- tu.

Hii mbinu ni moja ya mapungufu ambayo yataimaliza Chadema kabla ya 2015 kwani wameshindwa kuzungumza sera zao na sasa wanatumia pesa ambazo hazijulikani zimetoka wapi……..

utakufa kwanza wewe foolish ideas
 
Napenda watu kama nyie maana mnarahisishia umma kujua percentage ya UDHAIFU uliopo........ yn Operation Dhaifu inakuhusu vzr mno
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom