KakaKiiza
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 11,578
- 8,600
Jamani mapenzi nikitu muhimu na mapenzi nikitu chakushikwa kama chupa yenye madini ya nyukilia!!Namapenzi nikitu kigumu kuyahandle hivyo vyote nikuonyesha mapenzi nikilakitu kwenye maisha yetu!Hakuna hasiyejua hili!!
Napenda kufahamu kwa wote ambao mlishaingia kwenye mapenzi na kutoka Je Niyupi hasa anaumia sana pale mwenzake anapomuacha (kupigwa kibuti) wakati anampenda mwenzako!!naukiachwa unajifariji kwa lipi??