Kutokana na Maelezo ya Lissu, Zitto Zuberi Kabwe Ameishavuliwa Rasmi Uanachama CHADEMA!

Dah mnahangaika kweli kama swaini anayetaka kuzaa... !! Mtu yoyote mwenye akili timamu atashangaa sana umeshajua hutakiwi sasa unalazimisha ubaki ili iweje zaidi ya kuwa ulishavuta advance ya magamba sasa unatafuta muda zaidi ili kukamilisha kazi lakini wa mujini wajanja wamechomoa nyaya kabla malengo na kazi aliyotumwa haijakamilika!

Tena najua kinachomsumbua sana ni kuwa anajua kuna watu ndani na nje ya nchi ambao wanajua madudu yake mengi tuu na wameuchuna sasa lakini siku ikifika atashangaa.

Huu unaitwa uchangudoa kisiasa !! Dogo na ushamba wake wa mawese alifikiri anaweza kuja mujini na kujifanya anajua zaidi ya majunini wakati anatua na treni watu walimpokea akiwa na kiloba cha rambo na makopo ya mawese !!
 
Pasco Kazi kwa Kinana na Mangula,na JK na mwigulu na Nape..kumvua EDWARD LOWASA...sasa mpira urushwa mikoni kwa CCM.walipe kick ya CDM.
 
halafu uwape nchi wahuni hawa

ney, hakuna na ikulu wataisikia tu

Pana wahuni zaidi ya ccm katika ulimwengu huu kweli simbilisi?wanaomaliza vijana na madawa ya kulevya, wanaoangamiza tembo wetu, wanaonyofoa watu kucha na meno pasipo ganzi na wahusika kufahamika lakini hapana hatua yeyote uchukuliwayo dhidi yao?... Anayejaribu kuonyesha mfano hata kama mahamuzi ni magumu wewe wamwita muhuni?msikilize Mangula anavyolalama kuhusu ukiukwaji wa katiba ya chama ndo utagundua cdm wanapaswa kupongenzwa na si kubezwa
 
Mbowe anatengeneza pesa wapuuz wanabaki kushangilia tu
Kila mtu anatakiwa apate haki ya kujieleza co kufanyiana uhuni,
"Chacha died, I won't" -ZZK
 
Intention ya CHADEMA ya kumfukuza Zitto ilikuwepo kabla ya Zuio la mahakama la kujadili uanachama wa Zitto ,hivyo CHADEMA kusema huyu ni mwanachama kwa sababu za kimahakama sioni kosa. Udhaifu wako katika hili ni mahaba yako kwa Zitto lakini ujue vurugu za mahakama zikiisha Zitto ni reject CHADEMA.
 
Ndio wamemvua na kumfukuza uanachama, je ni kwanini ninyi maadui za CHADEMA mnaitaka CHADEMA ibakie naye????
Mchukueni tafadhali, sisi hatumtaki hata kama angekuwa ni dawa!
Hiyo contempt ni "ironic", it's almost inevitable that the Court is "meddling" with it's none-issues here.

Tatizo hamuelewi watu wa CDM. Hawa CCM wanachochea tu kuni na kutaka kuwaaminisha umma kuwa hiki ni chama cha kihuni na maamuzi ya kibabe. subiri 2015 ndo ujue in maana gani. ZZK alikuwa keshatonywa kuwa unafukuzwa. yeye si mjinga mkuu.
 
Chadema wanapaswa kupongezwa kwa ujasiri walioufanya. sio siri kinachozuia kunyofolewa Zitto ni court order kwani makosa yake ni mazito kuliko hata akina Mkumbo ukizingatia dhamana aliyokuwa amepewa na WanaChadema. VIVA CHADEMA

nakubaliana na wewe amekimbilia mahakamani ili mahakama ishikilie ubunge wake kama kafulila na mohamed rashid, maji shingoni, zito aibu kwako, kama kweli lengo lako lilikuwa jema kwa nini iwe siri.
 
Haya ndio aliyosema Zitto kuhusu fisadi Mbowe."Lissu anasema nimepewa magari
2 na Mzee Mkono. Anasema
kaambiwa na Mkono. Naamini
Mkono alimwambia pia mwaka
2005 alimpa Freeman Aikaeli
Mbowe tshs 40m ili Mbowe
asifanye kampeni Musoma vijijini.
Nadhani alimwambia pia mwaka
2008 (baada ya orodha ya
mafisadi kutangazwa 2007) Mkono
alimpa Freeman tshs 20m za
uchaguzi wa Tarime na Freeman
akasema kwenye chama ametoa
mkopo na akalipwa. Nadhani
alimwambia pia kuwa Mwaka 2010
Mkono alimpa Mbowe tshs 200m
za kampeni ya Slaa. Pia
hakusahau kumwambia kuwa
Rostam Aziz alimpa Mbowe tshs
100m za kampeni. Lissu anajua
kuwa gazeti la Tanzania Daima
limeanzishwa na fedha za chama
kutoka Conservative party?
Nimefanya internship yangu kwa
Mkono and Company Advocates
kuhusu masuala ya mikataba.
Mzee Mkono ni Mzee wangu na
alisaini petition ya kumtoa Waziri
Mkuu Pinda.
Lissu awaambie waliyemtuma
wamwambie ukweli wote. Lissu
ajue yeye ni kifaranga tu, Mimi
namtaka mama wa kifaranga
ajitokeze. Aeleze aliingia deal gani
na Kinana na Sumaye mwaka 2005
kufuatia deni lake NSSF. Aweke
wazi mkataba kati yake na NHC
kuhusu nyumba ya Umma ilipo
Club Bilicanas.
They must know I am not a push
over. Chacha died, I won't.
Mtu ambaye hawezi kuheshimu
mke wake aliyemzalia watoto
hawezi kunyooshea mtu kidole
kuhusu maadili[/QUOTE]
 
Nilidhani ni kweli kafukuzwa rasmi, kumbe ni hisia zako tu!

Sio hisia bali hakika kwa maana nyingine kama isingekuwa zuio la mahakama ina maana naye angekuwa OUT! rejea kauli ya Lissu kuwa ZKK anaendelea kuwa mwanachama sio kwa mapenzi ya CHADEMA.
 
Lissu is a very learned lawyer. Zitto will be dragged down in the court. It's a matter of time.
 
Mara utasikia Mh. Rais amewafukuza utanzania wananchi.......... Kwa kuingilia mamlaka ya raisi na kulizauliza maswali pamoja na kuandaa waraka wa ushindi kabla ya uchag uzi. NATANIA TU
 
Mimi ningekuwa mwanasheria wa CHADEMA, ningelazimisha hoja ya ZITTO KUFUKUZWA hata kama Mahakama imezuia. Naona wanamlea huyu mshenzi. Huyu si wa kumlea, anatupotezea muda, tunapaswa kuweka mikakati ya uchaguzi wa serikali za mitaa this year lakini kwasababu ya huyu mshenzi tunakaa hapa kumjadili. Hakuna cha mahakama hapa CHADEMA FUKUZA huyu mjinga.
 
Wanabodi,
It is confirmed kuwa Zitto Zuberi Kabwe, ameisha vuliwa rasmi Uanachama wa Chadema!.
Tangazo la kuvuliwa rasmi Uanachama wa Chadema kwa Mhe. Zitto Zuberi Kabwe limetolewa na Mwanasheria wa Chadema, Mhe. Tundu Lisu katika mkutano wa Chadema na waandishi wa habari uliofanyika Makao Makuu Ya Chadema mchana huu.

Kuvuliwa huko kwa Uanachama wa Chadema kwa Mhe. Zitto Zuberi Kabwe kumetangazwa not expressly but impliedly pale Lisu alipotamka rasmi Zitto Zuberi Kabwe bado ni mwanachama na mbunge wa Chadema kufuatia taratibu tuu za kimahakama!, implying they've done with him!.

Kuvuliwa huko rasmi kwa Mhe Zitto Zuberi Kabwe kumekwenda sambamba na kuvuliwa Uanachama kwa Dr. Kitila Mkumbo na Samson Mwigamba ambapo wote watatu walipelekewa hati za mashitaka 11, na wamekutwa na hatia kwa mashitaka yote na hukumu yao wote watatu ni kuvuliwa Uanachama wa Chadema.

Kuvuliwa Uanachama kwa Dr. Kitila Mkumbo na Samson Mwigamba kumetangazwa rasmi expressly ila kuvuliwa Uanachama kwa Zitto Zuberi Kabwe kumetangazwa na Lissu impliedly!.

Kwa vile tayari kuna zuio la Mahakama kuizua Chadema kutofanya chochote kumhusu Zitto Zuberi Kabwe mpaka baada ya uamuzi wa kesho, walichokifanya Chadema kama ndicho hiki kilichotangazwa na Lissu, then Chadema is in a hot soup kwa sababu that is contempt of the court!. Hili ni kosa la jinai!.

Naomba Kuwasilisha
Pasco.

PASCO ni moja wa wanachama wa JF mzigo..akili zako ni fupi kama za Zitto rafiki yako.
 
hawa watu wanaichezea na kuifinyanga demokrasia wapendavyo halafu ndo mabingwa wa kuhubiri demokrasia hasa huyo aliekuwa mgonjwa wa kichaa anatia kinyaa
 
Back
Top Bottom