Lambardi
JF-Expert Member
- Feb 7, 2008
- 16,499
- 17,373
Wakuu heshima mbele,naomba kujua zaidi hizo zama mbili katika jamii yetu,miaka ile ya 70 na 80 kila mtu ambae haeleweki vizuri na jamii au biashara zake zinakusa sana na hazieleweki aliogopwa sana na kuitwa Nyonya damu....kizazi hiki cha 2005 kuja juu watu wale wale wa zamani wataitwa Freemason!naomba kujua zaidi uhusiano wao au hizo zana katika jamii