kadoda11
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 21,453
- 20,712
Kama kuna vijana wenye njaa ndani ya cdm basi ni Yericko Nyerere....
mkuu msibughudhi yericko,mwacheni atupe updates asije akaghairi.
Kama kuna vijana wenye njaa ndani ya cdm basi ni Yericko Nyerere....
kampikie mumeoLamaana kwako we ni lipi?
Sasa ukiwa mahakamani ndo umeona uandike huo utumbo eti breaking news.si lazima kuandika kama huna cha kusema.shame on u.
Hana lolote huyo,kabaki kuandika na miherufi mikubwa tu kwenye migogoro ya CDM wakati gesi inakuja Dar kama kawa!
Wwew hko sahihi kabisa; Sasa swali langu ni kwamba hata wasipomjadili kama anavyoamini Mkutano mkuu unawezatengua maamuzi ya CC , Je huyu mtu hivi kweli bado anahitajika CHADEMA???; Sioni ni nini anaking'ang'ania tofauti na kuvuta muda ili aendelee kukideform chama.Mkuu,au mimi ndo sielewi.Kwani kesi iliyopo ni Zitto kupinga CHADEMA Wasijadili chochote kwakua amekata rufaa BARAZA KUU? Hivyo maamuzi tunayosubiri ni iwapo Mahakama itaridhia Zitto asichukuliwe hatua yoyote Au CHADEMA Waendelee kuchukua hatua dhidi yake,Kesi haimanishi Zitto akishinda iwe ndo karudishiwa nyadhifa zake.
Mkuu Mungi GAME IS OVER!!!!ZITTO kawaua!
Mapambano baina ya Wanafiki