Baraza kuu Ni Mseto wa Makabila mbali mbali hakuna wana kasikazini wengi Wajumbe wa Baraza kuu wengi hawatabiriki Ndio Maana kipindi cha Chacha Wangwe walitaka kufanya maajabu ya Dunia lakini Chacha hakufika mkutanoni Siri anaijua Deus Malya wajumbe wa Baraza kuu wao ni wengi hata ukitembeza Bahasha wanaweza kula pesa na kuharibu Hali ya hewa vile vile kwani kura huwa ni ya Siri . Labda waendeshe kura ya kunyosha vidole juu hapo iakuwa kasheshe kwani hata wapinzani watanyosha kuogopa kufutwa uanachama
Chezea Mzimu wa chacha wangwe wewe..