Kiungopunda
JF-Expert Member
- Oct 24, 2023
- 835
- 1,819
Hii ni kutoka kwenye official page ya CAF wameeleza Yanga imeshaingi robo fainali regardless na matokeo ya mechi ya Mwisho.
Picha inajieleza.
Picha inajieleza.
Wewe umefurahi mpaka jino la MwishoNice
Sijui bro namna ya kuweka link ila nimechukua kwenye Facebook Official Page ya CAF mkuu wangu.weka link hapa
Nini tena mwanakwetu waukae?Twafwaaaaaaaa....
Kawaida sister japo nimejisikia uchungu kwa comment yako. Pole.Twafwaaaaaaaa....
Kila ukienda uzi huu Uto haoo huku uto haooo...Nini tena mwanakwetu waukae?
Twafwaaaaaaaa....
Na zile sare sare zenu maua 🌹💐🌷 mtakufa kweli mwaka huu. 😁Twafwaaaaaaaa....
Pamoja kaka yangu..ila na sisi tutafuzu tuuKawaida sister japo nimejisikia uchungu kwa comment yako. Pole.
Nyie miaka 5 tulofuzu mlikufa??Na zile sare sare zenu maua 🌹💐🌷 mtakufa kweli mwaka huu. 😁
😂😂😂 Mpaka unasema mwaaafaKila ukienda uzi huu Uto haoo huku uto haooo...
Kila la kheri Yanga Africa 🐒Hii ni kutoka kwenye official page ya CAF wameeleza Yanga imeshaingi robo fainali regardless na matokeo ya mechi ya Mwisho.
Picha inajieleza.
View attachment 2915195