Kutoka dam puani na pombe kali

MFILIPINO

Senior Member
Aug 19, 2010
157
11
Wadu madaktari kwa nn nikinywa pombe kali kma grants, JD na nyinginezo natoka dam puan tena nikiwa na bibie ndio zaidi, what is behind this?
 
Umelazimishwa kunywa? Acha kwa afya yako! Possibly pombe inaongeza msukumu wa damu (ukiwa na bibie na hamu ikianza ndo inazidisha hiyo hali) so inasababisha hilo tatizo! inawezekana umezaliwa mishipa ya damu ya puani ikiwa dhaifu(hii ni common kwa watu wengi)

So ni kuacha tu hapo!
 
pole kaka, mimi natupiaga grants lakini sina tatizo hilo, ila utakuwa na tatizo kwenye mzunguko wako wa damu. dist111 kuacha pombe kazi, labda uwe huna ela.
 
Back
Top Bottom