Kutoka Bungeni - Jumamosi 21, Aprili 2012 (Videos)

Bendera hufuata upepo mkuu
Kweli wabunge wa CCM kiboko. Dakika chache zilizopita walimshangilia M/Kiti wa Kamati ya Miundo Mbinu kwa kupinga mapendekezo ya Mnyika. Baada ya debate kumsupport Mnyika nao wamegeuka wote.
 
KWA NINI ANATETEA SANA MADUDU? Wakati yeye ni Mwenyekiti wa kamati ya miundo mbinu?je amekula mlungula?
 
Anaomba Muongozo Kuhusu Muongozo wa Mnyika aliyetumia kanuni ya 57 na 58 kuomba mabadiliko katika Hoja ya kamati ya Uchukuzi

Yeye anataka yawepo maandishi na kwamba Mnyika alipaswa kuleta maandishi


Kakurupuka vibaya,

Mama Kiroboto anamwambia maandishi anayo, labda kwa kuwa hakuyasambaza na Yeye Kiroboto aliona haitakuwa hekima kumwambia akachape na wakati muda haukuwa rafiki sana.

Kimsingi anakaubaliana na Mnyika

Anawahoji wabunge wakubali na kuzipokea Hoja za Kamati zote



 
Bunge limeahirishwa Mpaka Jumatatu Asubuhi, hakuna Tamko lolote la serikali so far, HUKO NJE KULIKONI....hold on maana PM lazima atakamatwa na wapasha habari hapa
 
mchawi wenu ni kikwete jana usiku amekuwa mbogo kukubali mawaziri hao kuachia ngazi...amemdharau sana pinda
 
Bendera hufuata upepo mkuu
Nadhani hii issue ya mkopo na ujenzi wa gati una matatizo makubwa. Mambo hayajakaa vizuri na huwezi kumhukumu Nundu.moja kwa moja. Inatakiwa ifanyiwe kazi na wataalamu wa uhandisi, fedha na manunuzi
 
Tumeliwa..hakuna cha kujiuzulu wala baba yake kujiuzulu..! Kweli haya MAZINGAOMBWE kama alivyojisemea Mzee Mwenye Kijiji Chake.
 
UPDATE: MEDIA zimetega anapotokea PM kwa shauku ya aina yake, ataingia mitini kama jana au atatoa neno?????
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom