Kutoka Bahari Beach Hotel: Yaliyojiri katika Mapokezi ya Edward Lowassa kujiunga CHADEMA

kwa heshima na taadhima, nategemea viongozi wafuatao wamuombe radhi Lowassa in public,ama wajiondoe uanachama wao CDM.

Dr Slaa, Mnyika, Msigwa, Tundu Lissu, Mohamed Mtoi, Mdee, n.k

Yani nyie mkibaki CDM mtaingia kwenye hall of fame ya wanafki wa nchii hii waliobobea kuliko wote. Mbowe i can understand, kwa kuwa mara zote amekuwa vuguvugu kuhusu ufisadi,na yeye mwenyewe matendo yake yamekaa kifisadifisadi, kama vile kufanya biashara na CDM n.k, lakini Dr.Slaa sitakuelewa kabisa.


Kitendo cha Lowassa kusema am sick of richmond na kuwaambia kama hamna ushahidi m-shut up, ameshaonesha kuanzia sasa ukitoa Mtei na Mbowe, CDM imeshakuwa mali yake rasmi, kwani essentially anaowaambia wa-shutup ni wana CDM kwa wingi wao, kwani Ufisadi ulizaliwa na Dr.Slaa mwembeyanga, na mpaza sauti mkuu wa dhana nzima ya ufisadi ni Dr.Slaa.
Sasa leo hii kuambiwa u-shutup ni kuvunjiwa heshima yako. bora ujistaafie tu mzee wangu, maana CDM imeshanunuliwa na wenye pesa sasa.nyie mliokuwa na uchungu na nchi na ugwadu na mafisadi,kama haukuwa wa kinafki mkae pembeni.


Nguruvi3, Bavaria , joka kuu, Mkandara

We ccm ama ukawa?
 
Last edited by a moderator:
Leo ukweli wa sasa la richmond umejulikana, waziri mkuu rowassa alimwambia mwanasheria mkuu wa serikali wavunje mkataba wa richmond, mwanasheria mkuu akatoka nje sasa 1 kurudi akaja na jibu kwa mamlaka za juu zilikataa mkataba usivunjwe. Sasa kama waziri mkuu anaambiwa mamlaka ya juu zilikataa, je mamlaka ya juu ni nani? Nadhan sasa mwenye richmond kafahamika
 
Nimemuona lowasa leo akisema kuwa baada ya kuletewa taarifa kuwa juu ya ubovu wa richmond mezani kwake na kutaka kuuvunja aliambiwa mamlaka za juu zimesema usivunjwa.
kama kweli Kikwete alifanya hivyo na kumuachia mwenzake mikashifa yote tunayomtupia lowasa nitamchukia sana Kikwete pamoja na mazuri yake yote aliyofanya.
Lowasa ni binadamu na mtu mwenye familia kama sisi. Siasa zisitufanye tusahau hata ubinadamu wetu.
Nayaandika haya kwa uchungu mkubwa baada ya kumuona lowasa akiyaeleza haya tena kwa hisia kali.
Nafsi yangu imesononeka sana baada ya kuyasikia haya.
Nasubiri ku-prove kutoka independent kutokana na hili.
Na kweli kama haya yatadhihirika, kura yangu itamhusu hata kama hatashida.
 
Ndugu sana JF,habarini

Kwa hali inavoendelea,sina budi kuthubutu kusema kuwa Magogoni wanaostahili kuingia ni UKAWA.

Shida ni je? Nani Atakayetangaza kuwa mgombea wa Urais kupitia UKAWA kashinda? Na je Kwa uwepo wa tume hii ya uchaguzi isiyokuwa huru itakuwa tayari kutangaza kama Mgombea wa UKAWA atashinda? CCM itakubali hayo matokeo?

MAPENDEKEZO

Uongozi wa UKAWA wanatakiwa kufanya yafuatayo ili waweze kutangazwa kuwa Washindi;

1) Ni lazima kuweka Mawakala wa UKAWA ambao si rahisi kurubuniwa katika kila kituo cha Uchaguzi.Umakini wa hali ya juu wahitajika hapa.

2) Mawakala wajiandae na tochi za betri zenye betri za ziada mda wote ili kuepukana na umeme wa Kifisadi ambao waweza kukatika muda wowote na hasa wakati wa kuhesabu kura.

3) Kunatakiwa kuwe na shifti ya kwenda kula Kwa Mawakala wa UKAWA na wakati wa kuhesabu kura.

4) Red Bridgade awepo atleast ktk kila kituo na awe ana toa ripoti ya yanayoendelea kila baada ya nusu saa Siku ya kujiandikisha

5) Matokeo ya kila Kituo, mtaa,Kata, Jimbo,Wilaya na Mkoa(Udiwani,Ubunge na Urais) ni lazima yajulikane haraka na yatangazwe mapema

6) Nakala ya kila Matokeo yaliyosainiwa na Mawakala wote waliohusika kuhesabu ni vizuri ikatolewa kopi na kusambaziwa Kwa wahusika haraka ili kuthibitisha utangazaji wa Matokeo hayo.

7)Matokeo ya mikoa yote Kwa ngazi zote ni vema yakatolewa mapema mara tu baada ya kujumlishwa.

8) Kwa kutumia usafiri wa Chopper,document zote zenye matokeo ya Uchaguzi na kusainiwa na wahusika zikusanywe mapema Kwa mikoa yote.Chopper zaweza kugawana mikoa ya ukusanyaji wa hizo document kisha kuzipeleka Dar es Salaam Kwa uhakiki kabla ya kuzipeleka Tume ya Taifa ya Uchaguzi(NEC).

WanaJF,tunakaribishwa mbinu nyingine zinazotakiwa zitumike ili tuweze kutangazwa mapema.

Karibuni
 
Lowassa: Nilipeleka documents kuwa kampuni ya Richmond haikuwa halali. Hizo documents nilizipeleka kwa mwanasheria mkuu Johnson Mwanyika. Lakini baada ya siku tano nilipoona mwanasheria mkuu hatekelezi niliamua kuitisha kikao kilichoongozwa na katibu mkuu kiongozi pamoja na makatibu wakuu wahusika akiwemo mwanasheria mkuu. Tuliongea mengi ila mwanasheria mkuu akaomba pumziko la masaa mawili. Alitoka nje kuongea na simu na aliporudi ndani akasema kuwa mamlaka ya juu imeagiza kuwa Richmond ni halali na kila kitu kiendelee kama ilivyokuwa. Mimi Lowassa ningeongea tena nini?


tushamjua mbaya wetu...lazima tumchinje
 
Hii nch ukawa wanachukua....kwa hali yyte ile...Mzee kesha tia mkwara kwa tume
 
Back
Top Bottom