RICHMOND kwa sasa rasmi ni kashfa ya KIKWETE kwani Lowasa katamka wazi alitoa ushauri mkataba utenguliwe lakini mamlaka ya juu ikasema mkataba usivunjwe (Kwa hiyo mamlaka ya juu ni KIKWETE)
Kumbe Richmond ina mwenyewe?
Kumbe Lowassa alisingiziwa tu?
Mkuu vipi? Pole na majukumu.Amegoma
naona leo kamwaga mboga . JK=Richmond[/QUOTE Aaaaah kumbe mzee Edward Lowasa, kuhusu mkataba wa Richmond altaka uvunjwe lakin mamlaka ya Juu ikakataa....JK=Richmond.
Honolulu, mimi ni CCM, ila chama changu kingekuwa kimempitisha Lowassa ningemtosa nikampa wa UKAWA. Ila baada ya kuweka mtu mwenye maadili, mtu ambaye hajamuhonga mtu yeyote, mtu ambaye hata hakuhonga hata chombo kimoja cha habari, mtu ambaye hakuhonga hata mhariri mmoja. Mtu ambaye hana hata makundi. Mtu ambaye najua kabisa akiingia ikulu hana makundi. mtu ambaye najua kabisa ni mchapa kazi. Mtu ambaye ktk utumishi Wake serikalini wa miaka 20 tumeona alivyofanya kazi Kwa kuwajibika na tena kasimamia barabara mpaka leo tunafurahia. Basi uamuzi wangu kuwa urais ni CCM. Ila mbunge wangu simpendi kabisa, nitapiga UKAWA. Uelewe hivyo, ila ninyi mliojaaa ujingaa na upumbafu wa kushabikia vyama badala ya hoja ndiyo mtataga. Kama una akili umenielewa, like hii post, ila kama wewe unafikiria kutumia mattako, basi usicomment.
Wamekula maharage?Wamelala
Nina mwanangu yuko darasa la kwanza kaniuliza lowasa si ni yule alikuwa anatukanwa na mbowe pamoja na slaa nimeshindwa kumjibu.
Yan mtoto wa makaidi hana kazi tena...huyu mzee mbona kaaribu hivi.
Kumbe Richmond ina mwenyewe?
Kumbe Lowassa alisingiziwa tu?
Lowassa anampiga madogo Dr.Slaa aende Mahakamani.
Mkuu wamemwachia Mbowe chama chakeSioni Tundu Lissu, Dr Slaa wala John Mnyika