Si kila ukijuacho kimekutokea wewe, kuna vingine vingine unavijuwa kwa kuelezwa, kuona au kusoma sehemu mbalimbali. Kwa mfano, wote tunajuwa kuwa gari likikugonga unaweza ukafa... NANI KATI YETU ALISHAWAHI KUGONGWA NA GARI NA AKAFA...??Huyo mtu utakuwa wewe mwenyewe,umejuaje hiyo harufu au umeonaje huo ukoko au we ndo mambo ya Bakhresa kitu cha koni?
hehehe huyu inabidi achunguze majirani zake tu, nazani washamloga. Yaani kama makende yanatoa unga sasa bakhresa atoe nini?
h ha ha... klorokwini unadhani haiwezi kumsaidia kupunguza huo unga?