VoiceOfReason
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,194
- 1,355
Tunajua kwamba almasi ni carbon; na inatengenezwa kutokana na High Pressure and Temperature over a long time. Na hivyo ndivyo natural diamond inavyotengenezeka...,
Hiyo basi mtu yeyote anaweza kutengeneza almasi kwa kutumia Pressure kubwa sana na Joto la kutosha kwa muda wa kutosha...... Najua utasema tawezaji kupata hiyo Pressure na hilo Joto.... Dont Worry kuna kampuni nyingi zinaweza zikakusaidia kutengeza Almasi kwa kutumia mabaki ya mpendwa wako kama kumbukumbu (even death wont do you part...)
Unachotakiwa kuwapatia ni :-
Diamonds are Forever
Wanna Try It.... jaribu hapa LifeGem - Memorial Diamonds created from a lock of hair or cremated remains / ashes / cremation

- kuanzia 2,490 usd
- majivu ya mpendwa wako (sio lazima mtu hata mbwa wako au paka)
- miezi tisa ili kukamilisha kazi