johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 85,127
- 144,090
Nashauri endapo itatokea/imetokea kuna kiongozi yeyote wa CCM au serikali amehojiwa na jeshi la polisi kuhusu jinai ya kumteka MO basi ni heri kiongozi huyo/hao wakakaa pembeni hadi upelelezi ukamilike.
Nimepata wazo hili baada ya kufuatilia matangazo ya BBC Dira ya Dunia ambapo walifanya mahojiano na Kamanda Sirro. Dunia inafuatilia swala hili hivyo waliohojiwa wawe wazalendo kwa kutoitia doa serikali yetu, wapishe uchunguzi!