Kushindwa kwa sera za CCM ndio chanzo cha umaskini wa Watanzania!

kwa hiyo mungu wa palestina ni nani? na je unyanyasaji wa Israel ni sawa? juzi tu wananchi wameandamana kupinga weusi kuingia Israel je hiyo ni sawa,ninachojua wote sisi ni wana wa mungu na wote tuna haki sawa,wote tunapaswa kuwa na upendo kwa binadamu wote bila kubaguana
 
Mbona DUBAI, QUATAR, BRUNEI, KUWAIT na SAUD ARABIA hawana UHUSIANO kabisaa na ISRAEL na Wameweza kugawa

Utajiri wao kwa Wananchi wao? na Kuendeleza Nchi zao Vizuri haswa?

Sisi Nchi yetu Ina Wakristo na Waislamu naona hii ni Neema... tutaendelea Iwapo tu tutaondoa CULT ya CCM ndani

Ya UONGOZI... Tunapenda DINI lakini tusiilaumu sana kiasi cha kudharau Imani zetu zingine...

* Lakini Uposema kuhusu Uchafu wa Viongozi wetu sikatai hapo yaani Wabunge, Mawaziri, wote ni ulaji

SIASA NA DINI ---- MBALI MBALI....
 
Mbona DUBAI, QUATAR, BRUNEI, KUWAIT na SAUD ARABIA hawana UHUSIANO kabisaa na ISRAEL na Wameweza kugawa

Utajiri wao kwa Wananchi wao? na Kuendeleza Nchi zao Vizuri haswa?

Sisi Nchi yetu Ina Wakristo na Waislamu naona hii ni Neema... tutaendelea Iwapo tu tutaondoa CULT ya CCM ndani

Ya UONGOZI... Tunapenda DINI lakini tusiilaumu sana kiasi cha kudharau Imani zetu zingine...

SIASA NA DINI ---- MBALI MBALI....

That's it.........ta-ra-ri-ra zingine ni madoido ya makanisani na misikitini.
 
na sasa tunalazimishwa dini ya ushoga,wanafunzi wavae vimini-kenya,marufuku kumchapa kiboko mtoto,mahakama kuwa mungu
 
JAPAN NA ETHIOPA wano ubarozi wa hao MASHWAHI lakini kilsiku matatizo na mikosi maisha magumu bora hata TZ

Naliunga mkono taifa huru la israel_lakn sio upuuzi wa kusema eti hatuna maendeleo sababu yao,....waaarabu na wayahudi wooote sawa_i.e they have nothing to do with our dev......(mengine ni ti-ra-ri-ra za masheikh na wachungaji/walokole)....period
 
nakushukuru mwana jf kwa kusoma hii maana utatambua ukweli wa kinachoendelea na uchukue hatua.jana nilisikia bungeni kuwa tanzania haina ubalozi nchini israeli iyo ni dhahiri inaonesha kuwa hakuna uhusiano mzuri kati ya tanzania na israeli,sasa hebu tuangalie kimaandiko matokeo ya hayo ni yapi;

TUSOME EZEKIEL 25-3 NA KUENDELEA INASEMA

UWAAMBIE HAO WANA WA AMONI LISIKIENI NENO LA BWANA MUNGU BWANA MUNGU ASEMA HIVI KWA SABABU UMESEMA AHA?JUU YA PATAKATIFU PANGU PALIPOTIWA UNAJISI NA JUU YA NCHI YA ISRAELI ILIPOHARIBIWA JUU YA NYUMBA YA ISRAELI WALIPOKWENDA KIFUNGONI BASI KWA SABABU HIYO NITAKUTIA KATIKA MIKONO YA WANA WA MASHARIKI UWE MILKI NAO WATAWEKA MARAGO YAO NDANI YAKO WATAKULA MATUNDA YAKO NA KUNYWA MAZIWA YAKO

mstari wa sita sasa

MAANA BWANA MUNGU ASEMA HIVI KWA SABABU UMMEPIGA MAKOFI NA KUPIGA MSHINDO WA MIGUU YAKO UFURAHI JUU YA NCHI YA ISRAELI JEURI YOTE YA ROHO YAKO BASI TIZAMA NIMENYESHA MKONO WANGU JUU YAKO NA NITAKUTOA UWE MATEKA KATI YA MATAIFA.........utaendelea hapo mwenyewe

sasa tanzania hatuna uhusiano mzuri na Mungu kwasababu hatuna uhusiano na taifa teule la Mungu na laana inatupata kwasababu ya hilo.mfano wa watawala ambao hawakuwa na uhusiano mzuri na israeli ni IDD AMIN DADA na ADOLF HITLER,NA FARAO hakuna ambaye hajui lililompata farao na hao wenzake na ghadhabu ya Mungu ilikuwa juu yao na taifa lao,soma kitabu cha kutoka uone farao alichofanywa na mungu

TUNAWEZA KULAUMU SANA ILA TUSIPOANGALIA HILI NCHI YETU ITAKUA YA KULIA KILA SIKU NA MISAADA NA VIONGOZI KUENDELEA KUHUJUMU NCHI.

SULUHISHO
ni kutubu na kumwomba mungu msamaha kwa roho na kweli watumishi mbalimbali wameliona hili mfano ARUSHA kupitia RADIO SAFINA waliendesha maombi ya kuvaa magunia,pia mwakasege alifanya hivo dodoma kwahiyo ndugu zangu na viongozi wa TAIFA LA TANZANIA KAMA MNASOMA HAPA KUWE NA UHUSIANO MZURI TU NA ISRAELI NA HATA PALESTINA YAANI HAKUNA UMUHIMU WA KUTOKUWA NA UHUSINO WA KIBALOZI NA ISRAELI ZAIDI YA KUPINGWA NA MUNGU PLEASE NIMEFIKISHA UJUMBE
Hivi wewe unatumia kiungo gani katika kufikiri? Hujui kuwa wiki iliyopita Waisraeli walio masikini waliandamana kupinga kitendo cha Serikali yao kupitisha uamuzi wa kubana matumizi? Ni hivi, Israel yako nayo imekuwa kama Ugiriki na Uhispania kwa jinsi inavyotaka kubana matumizi ili kuzuia mgogoro wa kiuchumi. Sasa ina maana nao wamelaaniwa ama? Au nao wao hawana uhusiano mzuri na Waisraeli wenzao akina Netanyahu? By the way, Israel inayozungumzwa katika Biblia si TAIFA kwa maana ya Political Administration bali ni kila aliyemkiri BWANA na kuacha dhambi huyo amekuwa TAIFA TEULE LA MUNGU. It is not a direct translation kama Walokole wengi wanavyofanya! Unaweza kukuta ISRAEL inayozungumzwa ndio Palestina au Iran ya leo! Kwani wewe ulikuwepo enzi za Nabii Ezekiel alipokuwa akinena juu ya Israel? Unajuaje kuwa Israel hiyo ndiyo Tanzania au Ethiopia ya leo? Usi-copy na ku-paste ndugu yangu, vinginevyo hatutachelea kusema akili yako iko likizo na badala yake unatumia za wenzako katika kufikiri!
 
Sawa sawa......hayo ndiyo matatizo ya walokole,...akili zao wamezipa likizo kuzishughulisha_wanabaki kumsubiri kakobe,mwingira,mwakasege,lusekelo,tb joshua etc,..etc wawambie/wawakaririshe mambo yasiyo na mashiko.
 
Mbona hili jambo linafanyiwa kazi, TANZANIA iko mbioni kurudisha mahusiano ya kidiplomasia na Taifa teule ISRAEL,
Ndio maana balozi wetu nchini MISRI amekua akiripoti Jerusalem kuhakikisha mahusiano mapya yanarudi.
Tumeyatambua makosa yetu na taabu ya mikono yetu wamekula wageni turehemu mwenye enzi uliyezifanya mbingu na nchi!
 
Naogopa sana watu wanaokuja na gea ya dini. Wanaaminisha watu kuwa wavivu na vibubusa katika kuamini hadi wanawaibia na kuwa matajiri wakati waumini wakiwa maskini. Tatizo la Tanzania si laana bali utawala mbovu na ukondoo wa watanzania. Wanaoamini katika kuomba na kutubu ni wavivu wa kufikiri maana kama ni kuomba kuna matapeli wengi waliovaa majoho walishaandaa maombi kwa ajili ya taifa. Wengi wa watu wa namna hii hutafuta nafasi ya kuwa karibu na watawala wezi ili wapewe mabaki. Kuikomboa Tanzania ni kupambana na kizazi cha matapeli wa kisiasa na kidini. Ni kuhakikisha kupe hawa wanafutiliwa mbali.
 
Hivi kuna watu bado wanaamini katika hii misahafu ya kuandikwa na wageni kwa siasa zao tu?

Of course ukiamini katika misahafu hiyo si ajabu kuamini kwamba tuna laana, ndiyo point nzima ya vitabu hivyo, kukufanya wewe uamini una laana na wao ni miungu watu.

Kwa hiyo sioni cha ajabu hapa.
 
hazijapita hata karne mbili tangu watanzania wajue habari za Israel na ukristo lakini si waliishi bila laana?. pia wayahudi walikuwa wapinzani wakubwa wa ukristo. hii hoja hapa si mahala pake sababu ina cheche za udini
 
hahahaaa mi nacheka tu, we ndo mwenye mawazo ya laana ndugu, si tunashuhudi uongozi mbovu, ufisadi, serikali kama genge la kihuni kwa maslahi ya kikundi fulani, mafisadi wakibadilishana madaraka na kulindana, makampuni hewa ya wizi wa pesa za serikali na wananchi, siasa ndio mtaji wa mabilioni, wizara zimelala hata majukumu yake hayatekelezwi, mfano; ndege za Malawi zinaingia mpakani, ina maana hapo mpakani hakuna ulinzi? na walinzi wako wapi wanafanya nini? mafisadi wangapi wanatajwa, hatua gani zimechukuliwa? we unafikiri pesa zinazomilikiwa na hao nguli haziwezi kuleta maendeleo nchini? mikataba feki ya maliasili za nchi kwa maslahi yao, wanajimilikisha migodi na familia zao, we hayo yote huyaoni? mwongozo mbaya kila sekta kila wizara ktk Regime hiyo, we huna macho? akili je?
 
Ama kweli nimeamini kuwa 'VICHWA VYA WAJINGA MASHAMBA YA WAJANJA'
 
Back
Top Bottom