Akila za raisi zinamtosha mwenyewe kuvukia barabaraNaunga mkono hoja kuna mambo yako sensitive sana ambayo hata ukishauriwa lazima na ww uchekeche...
Nafasi ya uraisi sio mchezo...huezi kushauriwa tu ukafanya tuu bila na ww kuweka akili yako hapo....
The boss soma kitabu cha trump kinaitwa vipers...uone jinsi trump alivyokua anasumbuana na washauri wake...yaani mwisho wa siku maamuzi yanakua yake