plumber hydrogen
JF-Expert Member
- Feb 17, 2022
- 741
- 1,299
Habari zenu ndugu zangu wa JF naomba kuuliza njia gani ni rahisi kusafirisha simu kutoka South Africa mpaka Dar na gharama ni kiasi gani natanguliza shukurani NB simu ni moja smartphone
simuSimu au ngada?
Tumia DHL au Kama vp nenda Kariakoo wakakubambikie fekisimu