Kusafirisha mzigo toka China

jashmoe32

JF-Expert Member
Dec 4, 2012
1,087
423
Habari,

Naomba msaada wa kufahamishwa kampuni inayoweza kusafirisha mzigo kutoka China kwa uhakika na kwa gharama nafuu. Ni mashine mbili ambazo zinafit kwenye 1 CBM hivo ingependeza kufahamishwa bei per CBM.

Ahsante
 
Member mwenyeji kabisa!

Nenda jukwaa la biashara, maswali na majibu yoooote yapo pale
 
Habari,

Naomba msaada wa kufahamishwa kampuni inayoweza kusafirisha mzigo kutoka China kwa uhakika na kwa gharama nafuu. Ni mashine mbili ambazo zinafit kwenye 1 CBM hivo ingependeza kufahamishwa bei per CBM.

Ahsante
Nenda GSM bro. Kama upo Dar nenda ofisi zao karibu na CCM Lumumba. Na mizigo hawa jamaa wapo Guangzhou, Yiwu.
 
Back
Top Bottom