Tripo9
JF-Expert Member
- Sep 9, 2009
- 4,352
- 3,533
Nimekaa siti namba 12A, jirani wangu siti no. 12B ni mnene balaa. Ameni-squeez sina raha. Safari ni ya masaa 8. Jamani nini haki yangu hapa? Nikimuambia mhudumu hakuna ki2 anasaidia, na hakuna nafasi iliyowazi.
Kwa nini kama unajua uko oversize usi-book siti 2 kwa 1 ujiperaha mwenyewe.
Nadhan asili ya tatizo la oversize ni kua watoto wa siku hizi hawachezi komborera, rede, mpira na michezo mingine. Kazi kucheza game za computa na kuangalia Tvs 2.
Hebu 2we realistic, kama umejiachia ukawa 'jumbo' basi ukisafiri nunua siti ya ziada ili usiminye raha wenzako bana. Argh!