Kusafiri karibu na mtu oversize

Tripo9

JF-Expert Member
Sep 9, 2009
4,352
3,532
Nimekaa siti namba 12A, jirani wangu siti no. 12B ni mnene balaa. Ameni-squeez sina raha. Safari ni ya masaa 8. Jamani nini haki yangu hapa? Nikimuambia mhudumu hakuna ki2 anasaidia, na hakuna nafasi iliyowazi.

Kwa nini kama unajua uko oversize usi-book siti 2 kwa 1 ujiperaha mwenyewe.

Nadhan asili ya tatizo la oversize ni kua watoto wa siku hizi hawachezi komborera, rede, mpira na michezo mingine. Kazi kucheza game za computa na kuangalia Tvs 2.
Hebu 2we realistic, kama umejiachia ukawa 'jumbo' basi ukisafiri nunua siti ya ziada ili usiminye raha wenzako bana. Argh!
 
sasa hayo maneno ungemwambia huyo uliyesafiri nae,huko umebanwa wee,
ushauri unakuja kuleta hapa?
 
Haya maneno yanakuhusu mpaka wewe 'boss'. Mweee! Tena yule jamaa alikua anaonekana 'boss' flan ivi. Ni wewe boss nini!!!
 
mi ni boss kwa sababu nina watu wananitumikia and the call boss,sio oversize,
 
Kwenye usafiri kuna mambo.

Niliondoka Mtwara juzi nikirejea Dar jirani yako aliketi kijana wa kipemba, nadhani alikuwa amefunga. tatizo lake akifungua mdomo inatoka harufu mbaya kwelikweli zaidi ya choo cha sokoni, ilibidi nisifunge dirisha toka Mt hadi Dar.
 
hiyo harufu ni SUNNA
 
Nimekaa siti namba 12A, jirani wangu siti no. 12B ni mnene balaa. Ameni-squeez sina raha. Safari ni ya masaa 8. Jamani nini haki yangu hapa? Nikimuambia mhudumu hakuna ki2 anasaidia, na hakuna nafasi iliyowazi.

Kwa nini kama unajua uko oversize usi-book siti 2 kwa 1 ujiperaha mwenyewe.

Nadhan asili ya tatizo la oversize ni kua watoto wa siku hizi hawachezi komborera, rede, mpira na michezo mingine. Kazi kucheza game za computa na kuangalia Tvs 2.
Hebu 2we realistic, kama umejiachia ukawa 'jumbo' basi ukisafiri nunua siti ya ziada ili usiminye raha wenzako bana. Argh!

siku nyingine ukiwa A bonge yupo B mwambie mbadilishane siti, unamweka A halafu wewe unakaa B kwa raha zako
 
Tatizo lingine linakuja pale unaposafiri na mtu ambaye anapenda kula mayai ya kuchemsha kila anapoyaona katika kituo, walah unaweza kuomba uahirishe safari yako kwasababu ya harufu ya kama yai viza inayotoka mdomoni mwake.
 
Kwenye usafiri kuna mambo.

Niliondoka Mtwara juzi nikirejea Dar jirani yako aliketi kijana wa kipemba, nadhani alikuwa amefunga. tatizo lake akifungua mdomo inatoka harufu mbaya kwelikweli zaidi ya choo cha sokoni, ilibidi nisifunge dirisha toka Mt hadi Dar.
Hata kama unahaki ya kufikia keyboard upo ustaarab wa kuandika tena suala linalomuhusu kiumbe mwenzako. Sina hakika wewe ubora au usafi wako ni upi? Jifunze kuheshim watu, na si ujanja kukejeli na kukashifu watu. Humjui huyo kijana wa Kipemba sijui imekusaidia nini kumdhalilisha hapa. That is typically personal attack.
 
Mbona na wewe unam-attack yeye tena kwa kushika key board? Au ndio ule usemi "All animals are equal but there are those who are more equal than the others!"
 
He! wapemba wana nuka sana...uki kaa karibu na mhindi afadhali bwana wapo kistarraabu kidogo.
wacha mdomo wa kipemba wao wana tabia kujamba pia...!!hatari ii bwana...
 
Hata kama unahaki ya kufikia keyboard upo ustaarab wa kuandika tena suala linalomuhusu kiumbe mwenzako. Sina hakika wewe ubora au usafi wako ni upi? Jifunze kuheshim watu, na si ujanja kukejeli na kukashifu watu. Humjui huyo kijana wa Kipemba sijui imekusaidia nini kumdhalilisha hapa. That is typically personal attack.

Unaondoka nyumbani kwako asubuhi bila kuoga na kusafisha kinywa, kinatoa harufu ya kuoza kama mzoga wa mbwa unataka tumsifie huyo ndugu yako mpemba kwa uchafu?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom