Kurudisha data ulizo format kwenye hard disk

Mkuu hiyo s ya kulipia?manake kuna moja nili download file unaziona ila huwez ku recover hadi ulipie!

Msaada wako ni muhimu mno mkuu
 
Yap atoe tutorial hapa,ili watu tuelimike ,email Kwan kuna usiri gani?? Mbona akina chief mkwawa,njunwa,mwlrct and others wanaelimisha hadharani??
Mi niliwahi kuwekewa moja nitaitafuta na kuiweka hapa kama kati ya leo mpaka jmosi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom