Kurudia kuomba kazi utumishi.

edger jairos

JF-Expert Member
Apr 17, 2017
335
71
Habari zenu nimejiuliza sana nikaona nipate msaada kwenu unaweza kuapply pale pale utumishi ardhi kwa kupeleka document pale? kwa sababu nimekosea baadhi ya vitu kwenye application letter msaada tafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Andika vizuri huo usela wako umeupeleka hadi kwenye maombi ya kazi ona sasa umekuponza.Kasome maelekezo vzr njia ya kutuma maombi ni moja tu ya mtandaoni,halafu utumishi wapo maktaba na hata kwenye anuani yao wameandika huko ardhi unakotakwenda sipo
 
Habari zenu nimejiuliza sana nikaona nipate msaada kwenu unaweza kuapply pale pale utumishi ardhi kwa kupeleka document pale? kwa sababu nimekosea baadhi ya vitu kwenye application letter msaada tafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama issue ni barua au documment nenda sehemu ile ya other attach barua yako hapo. Itakuwa imefika. Jana binafsi kuna issue nilikose nilipowapigia wakanijibu hivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom