wake up
Member
- Sep 18, 2023
- 11
- 25
Habari za wakati huu?
Niende moja kwa moja kwenye jambo langu kwanza nikiri kwamba mm sio mgeni humu Jf ni member kwa miaka zaidi ya 8 na id yangu inafahamika ndio maan nimeona ili niwe huru zaidi nitumie id mpya kabisa.
Jamani sababu iliyonileta kwenu ni kuomba ushauri na msaada hasa wa kazi, nina miaka 35 nina ishi Dar nina familia ya mke mmoja wa ndoa na watoto 2 maisha yalikuwa sawa tu hadi mwanzoni mwa mwaka jana baada ya kibarua changu kukoma kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu.
Ninapitia changamoto nyingi kwa sasa mbaya zaidi nina familia akiba niliyoweka kipindi nafanya kazi imekata maan ndio tuliyokuwa tunaitegemea kutuendesha na vibiashara vya hapa na pale vimechangia kutufilisi kabisa ombi langu kwenu kwa yoyote mwenye uwezo wa kunisupport nipate kufanya kazi ili niweze kumudu maisha na familia na hata kama ni kwa muda nitashukuru sana kwa sasa hali yangu sio nzuri kabisa.
Professional yangu administration management. Kazi ninazoweza kufanya. Kazi zozote za sale and marketing, kazi za data, kazi za usimamizi.
Nitashukur km mtanipatia ushirikiano mm naahidi kuwa mwaminifu na mkweli kwa yoyote atayenisaidia sitamwangusha. Tafadhali nisaidieni niweze kuilinda hii familia yangu.