Kura ya maoni: Zitto vs Dr Slaa

Ni nani ungependa agombee urais mwaka 2015 kwa tiketi ya CHADEMA?

  • Zitto Z. Kabwe

    Votes: 180 15.3%
  • Wilbrod P. Slaa

    Votes: 996 84.7%

  • Total voters
    1,176
  • Poll closed .
Status
Not open for further replies.
Mbowe alishasema chama chake sio genge la wanaosaka Urais. Labda kama atagombea kupitia NCCR-Manunuzi au CCM huko ndiko wanakohangaika na Urais muda. Chadema ni M4C kwa kwenda mbele na leo tupo Mvomero
 
huu ***** sasa unachefua sana...ebu tujielekeze kwenye masuala ya msingi tuachane na fikra nyepesi za kujadili watu badala ya kujadili masuala na changamoto zinazotukabili. yako mengi yanayowasibu watz kwa sasa na watz wangependa kuona tunajelekeza ktk kutafuta majawabu ya masuala na changamoto zinazowakabili kuliko kuhangaika na mambo ya bei rahisi kama haya...Jamii forum ni moja ya electronic media house inayoheshimika sana..hatuwezi kuendelea kuitumia jf kama kijiwe cha wasaka madaraka na hasa Urais.....ts boring
 
Aisee tulipewa rais kijana akavurunda nchi yetu... Tunamtaka mtu mwenye experience ya kiuongozi na sio dogo janja
 
Atakuwa rais wako wewe, raisi tumtakae sisilazima awe tunda la M4C! Tupo kwenye harakati za kuhamasisha, wewe unaleta habari za uraisi,nyambafu.

Wanaotaka mabadiliko wako vijijini Morogoro chini ya M4C.Yeyote ambaye haendi vijijini kuunganisha watanzania ni Kibaraka na hatufai...
 
Msipotezepoteze hovyo. Kimsingi CDM Imegain momentum. Nyie mnajidai mnawapunguza kasi kwakuwagombanisha ila ng'oo: Wako makini hawa jamaa .
 
Zitto bado saaana kumlinganisha na Dr Slaa kwani hata yeye huyu bwana Zitto analijua hili vizuri
 
For this time lets take our time to build the strength of our party CDM first and then to make sure all Tanzanians understand when you talk about CDM. I think this is not right time to vote for whom will suit for presidency post 2015 from our party CDM, cos our enemy will use this chance to destroy us. Don't give them opportunity on this. Lets Tanzanians eat, drink, walk, sleep, and awoke in their heads with M4C. I think you have got what I mean.

New generation Ideas
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom