Kura ya maoni kwa "MAFISADI" itaanza lini?

Tatu

JF-Expert Member
Oct 6, 2006
1,100
313
Je Rais na PM watatangaza lini kuhusu hatua ya sirikali kuwapigia kura ya maoni MAFISADI? Kwa sababu vyombo vya dola vimeshindwa kuwakamata hawa mafisadi kama ilivyo kwa wauaji wa maalbino, natumaini imefika wakati sasa sirikali kutangaza mpango wa KURA YA MAONI KWA MAFISADI. Najua mpango huu utatumia "BILLIONI 3 KWA KILA MKOA NA DAR KUTUMIA BILLIONI 40" lakini nafikiri WANANCHI WAKO TAYARI KWA MPANGO HUU.
 
Is it under pipeline or your just giving an idea?, what is the conventional basis for the financial implications your proposing?
 
Mafisadi waliopo Bongo tu au hata wale walioiba na kukimbilia ungaibuni?

Tuanze na wale waliopo Ughaibuni kwanza ambapo wengine ni wanachama wa JF as charity begins at home!

Yaani tuwe na kura ya siri hapa JF kuwataja wanaJF ambao ni mafisadi!
 
Mbona majina (w)anayo tayari, sasa mnataka kuyapigia kura ya nini - Kamati ya Mwakyembe imewataja, Orodha ya Slaa imewataja, Ripoti ya SFO imewataja n.k!
 
Hii kura ya kuwatambua wauaji hadi sasa sijaielewa ,labda wapenzi na wafuasi wa Sultani CCM mtuchambulie hii sera mpya iliyozuka ,vipi itaweza kumkamata muuaji ingawa naweza kuwapa sapoti ikiwa tu mafanikio yataonekana ,yawe ya uhakika .pengine mliona watu hawawezi kupeleka habari kwenye vyombo vya usalama kwa kuwa watu wa usalama ni wahusika ,kwa mfano huo wananchi hawana imani na vyombo vya usalama.
Haya wafuasi wa Sultani CCM truechambulieni haka kaufisadi kingine ambako tayari kimeshasema kitatumia mamilioni ili kukamilika. Kama mambo yakiwa mazuri fedha si kitu lakini kama hakuna natija yeyote basi utakuwa wizi mwengine. Leteni ufafanuzi wa sera hii ya upigaji kura !!!
 
Haihitajiki kwa sababu mafisadi wote wanafahamika. Wote wametajwa na wanafahamika.
 
Mafisadi waliopo Bongo tu au hata wale walioiba na kukimbilia ungaibuni?

Tuanze na wale waliopo Ughaibuni kwanza ambapo wengine ni wanachama wa JF as charity begins at home!

Yaani tuwe na kura ya siri hapa JF kuwataja wanaJF ambao ni mafisadi!

Una uhakika na unacho kinena? Kweli uzalendo;) unaanzia JF Ville!

Manake inabidi tutajane majina halafu Wana JF wajichambue ni nani mwenye jina hilo... nanini nanihii

taja siku na tarehe wapo wengi tuu-siwajui wote:D
 
Back
Top Bottom