zanzsco
Senior Member
- Aug 21, 2011
- 161
- 45
mi nagonga kavu mwanzo kati mwisho....
Sifa za kijinga aiseee!!!!!!!!!!
mi nagonga kavu mwanzo kati mwisho....
Macho wakaka yanavyo watoka mtaweza kuwa na mmja kweli!!!!Kupiga na ndom daily nako kugumu..hasa mambo ya kulambana yanapokuwa ndio habari ya mjini.
Nashauri mu awe na mpenzi mmoja tu...
Kupiga na ndom daily nako kugumu..hasa mambo ya kulambana yanapokuwa ndio habari ya mjini.
Nashauri mu awe na mpenzi mmoja tu...
Wadau MMU,
Napenda kushare nanyi hili jambo na lichukuliwe kama ushauri na ONYO.
Stori yenyewe ipo hivi kuna watu wengi sana wanapoanza uhusiano wa kimapenzi huwa wakini kwenye kutumia KINGA aka Condoms lakini baada ya kuzoeana kidogo huanza kuacha na kujifariji tayari wamezoeana na kujiridhisha kuwa hana UKIMWI na kuanza kula MZIGO kavu kavu,huwa najiuliza hivi MACHO na maelezo yake mafupi yatosha kuamini kuwa hana NGOMA na GITAA lake..?
Jamani wandugu tuwe makini UTAMU wa siku moja usije kukupa majuto ya maisha yako yote,pia kama mtu humwamini na una KIU na ile kitu tumia Condoms mwanzo mwisho,sio unapiga bao moja na Condom la pili umeshamwamini unavua Condom..Aisee hiyo ni KWERE...!! Kama unanyongeza ya ushauri nk karibu tushare experience..!!
Ushauri mzuri...lakini kuna jambo tu nafikiria kivivu hapa, bila shaka kondomu zilitengenezwa kwa matumizi yafuatayo:
1. Kuzuia ujauzito kwa wanawake
2. Kujikinga na maambukizi dhidi ya HIV na STD's
Sasa hiyo nambari 2 ndiyo inayonifanya nifikirie kivivu kwa kutumia nadharia hii...
Kama mipira hii ilitengenezwa kwa ajili ya kujikinga dhidi ya maambukizi,
Je walengwa ni kwa wale watu wenye mpenzi mmoja tu au wale wenye utitiri wa wapenzi?
Kama mtu ana mpenzi mmoja tu, kwa nini umtengeneze kinga, ajikinge kwa lipi?
NB:
Binafsi naona jambo la muhimu kusisitiza hapa ni UAMINIFU tu, huwezi kuvaa mpira katika muda wote wa mahusiano/ndoa.
Asante wadau kwa kuonesha ushirikiano wenu katika mada yetu,wengi wanakubali kuwa wanapiga KAVU ila mimi kama nilivyosema hapo juu ikitokea umebanwa sana na huwezi kujizuia tumia Condoms ila kwa mpenzi/mkeo/mmeo mwaminifu game linanoga likipigwa KAVU KAVU 100% ila kuna shida ya UAMINIFU,that's why idadi kubwa ya waathirika wa NGOMA NA GITAA LAKE ni wanandoa.Yote kwa Yote magonjwa ya STD(Sexual Transmitted diseases) yamekaa mahali pabaya sana.Any way Take Care..!!Kupiga na ndom daily nako kugumu..hasa mambo ya kulambana yanapokuwa ndio habari ya mjini.
Nashauri mu awe na mpenzi mmoja tu...
mi nagonga kavu mwanzo kati mwisho....
shosti naomba unisindikize nikizimia unipepee.
Wadau MMU,
Napenda kushare nanyi hili jambo na lichukuliwe kama ushauri na ONYO.
Stori yenyewe ipo hivi kuna watu wengi sana wanapoanza uhusiano wa kimapenzi huwa wakini kwenye kutumia KINGA aka Condoms lakini baada ya kuzoeana kidogo huanza kuacha na kujifariji tayari wamezoeana na kujiridhisha kuwa hana UKIMWI na kuanza kula MZIGO kavu kavu,huwa najiuliza hivi MACHO na maelezo yake mafupi yatosha kuamini kuwa hana NGOMA na GITAA lake..?
Jamani wandugu tuwe makini UTAMU wa siku moja usije kukupa majuto ya maisha yako yote,pia kama mtu humwamini na una KIU na ile kitu tumia Condoms mwanzo mwisho,sio unapiga bao moja na Condom la pili umeshamwamini unavua Condom..Aisee hiyo ni KWERE...!! Kama unanyongeza ya ushauri nk karibu tushare experience..!!
كُلُّ نَفْسٍ ذَائِقَةُ الْمَوْتِ
Kila nafsi itaonja mauti( TMQ 3:185)
ha ha ha ukikumbuka vimeoo..................ukavuta picha!!kupima shughuli pevu ndugu yangu
Hata mimi najua kila nafsi itaonja umauti lakini my take ni kwamba kavu kavu ni rahisi mtu kupata ukimwi na magonjwa mengine ya zinaa hasa kama mtu anafanya SEX na mtu asiye mke/mume wake.Kama unavaa Condom ili usife mapema, utakuwa unajidanganya...!
Ha ha ha ha,kumbe si kwamba hamjali afya zenu sometimes mnachanganyikiwa tu jumla!!!!!!ujumbe mzuri lakini unaingia akilini zaidi vidole vinapokua kwenye keyboard. lakini vikiwa juu ya ngozi ya mrembo sahau