Kupiga kavu kavu ni noma..!

Kupiga na ndom daily nako kugumu..hasa mambo ya kulambana yanapokuwa ndio habari ya mjini.
Nashauri mu awe na mpenzi mmoja tu...
Macho wakaka yanavyo watoka mtaweza kuwa na mmja kweli!!!!
MHHHHHHHHHHHH, ngumu kumesa!
 
kaka mimi niliona hilo. kwenye zanana. Kuna vijidudu vingi .kweli hayana madhara jamani ?
 
!
!
ndugu yangu mleta uzi, kupata UKIMWI au virusi vinavyoambukiza UKIMWI ni nafasi tu, nafasi ikipatikana unapata na ikikosekana huupati. Hakuna cha ujanja wala uzembe katika hili, au labda uamue kutoshiriki kabisa kabisa ngono hata na mkeo au mumeo kwa sababu swala sio kuvaa kondomu tu, ni pamoja na kufuata taratibu za uvaaji na uvuaji pia. unaweza ukatulia ila mwezio ndio akakuletea hadi home.
 
Kupiga na ndom daily nako kugumu..hasa mambo ya kulambana yanapokuwa ndio habari ya mjini.
Nashauri mu awe na mpenzi mmoja tu...

Ulishawahi sikia nani kamwambia mpenzi wake kwamba ana wapenzi wengi hata kama anao mia.....??? Pigeni kavu tu, mnataka kuishi miaka zaidi ya mia mbili kama kunguru...??? Mbona umri wa miaka tisini tu unatosha....??
 
Wadau MMU,
Napenda kushare nanyi hili jambo na lichukuliwe kama ushauri na ONYO.
Stori yenyewe ipo hivi kuna watu wengi sana wanapoanza uhusiano wa kimapenzi huwa wakini kwenye kutumia KINGA aka Condoms lakini baada ya kuzoeana kidogo huanza kuacha na kujifariji tayari wamezoeana na kujiridhisha kuwa hana UKIMWI na kuanza kula MZIGO kavu kavu,huwa najiuliza hivi MACHO na maelezo yake mafupi yatosha kuamini kuwa hana NGOMA na GITAA lake..?
Jamani wandugu tuwe makini UTAMU wa siku moja usije kukupa majuto ya maisha yako yote,pia kama mtu humwamini na una KIU na ile kitu tumia Condoms mwanzo mwisho,sio unapiga bao moja na Condom la pili umeshamwamini unavua Condom..Aisee hiyo ni KWERE...!! Kama unanyongeza ya ushauri nk karibu tushare experience..!!

Mi siwezi kabisaaa kuvaa hiyo kitu...........na ndio ndio kitu inanifanya siwezi kufanya zinaa. Kitu kavu bwana asikuambie mtu.
 
bao la pili pipi ndizi inabidi iliwe bila ganda..........huwa nasikia jamaa wanajisifia mimi navaa kondom mbili is this possible :A S-confused1:????
 
Ushauri mzuri...lakini kuna jambo tu nafikiria kivivu hapa, bila shaka kondomu zilitengenezwa kwa matumizi yafuatayo:

1. Kuzuia ujauzito kwa wanawake

2. Kujikinga na maambukizi dhidi ya HIV na STD's

Sasa hiyo nambari 2 ndiyo inayonifanya nifikirie kivivu kwa kutumia nadharia hii...

Kama mipira hii ilitengenezwa kwa ajili ya kujikinga dhidi ya maambukizi,

Je walengwa ni kwa wale watu wenye mpenzi mmoja tu au wale wenye utitiri wa wapenzi?

Kama mtu ana mpenzi mmoja tu, kwa nini umtengeneze kinga, ajikinge kwa lipi?

NB:
Binafsi naona jambo la muhimu kusisitiza hapa ni UAMINIFU tu, huwezi kuvaa mpira katika muda wote wa mahusiano/ndoa.

Haaaa haaaaa...mdau naona unatetea MBICHI..kaka kwa utamu wa mbichi hii vita ni ngumu sana...na cku hizi wadada zetu wamekuja na defense mpya..."eti inaniwasha/inanichubua/inaniumiza tuache bhana " weeeee...!! Kidume ukisikia hivyo hata hujiulizi mara mbili fasta unatupa kule jezi..
 
Kupiga na ndom daily nako kugumu..hasa mambo ya kulambana yanapokuwa ndio habari ya mjini.
Nashauri mu awe na mpenzi mmoja tu...
Asante wadau kwa kuonesha ushirikiano wenu katika mada yetu,wengi wanakubali kuwa wanapiga KAVU ila mimi kama nilivyosema hapo juu ikitokea umebanwa sana na huwezi kujizuia tumia Condoms ila kwa mpenzi/mkeo/mmeo mwaminifu game linanoga likipigwa KAVU KAVU 100% ila kuna shida ya UAMINIFU,that's why idadi kubwa ya waathirika wa NGOMA NA GITAA LAKE ni wanandoa.Yote kwa Yote magonjwa ya STD(Sexual Transmitted diseases) yamekaa mahali pabaya sana.Any way Take Care..!!
 
vp sasa kina waleambao ndomara ya kwanza wana meat lakin kondom hawatumi tuwesaidiajeee
wanakufa jamaniii...
 
Wadau MMU,
Napenda kushare nanyi hili jambo na lichukuliwe kama ushauri na ONYO.
Stori yenyewe ipo hivi kuna watu wengi sana wanapoanza uhusiano wa kimapenzi huwa wakini kwenye kutumia KINGA aka Condoms lakini baada ya kuzoeana kidogo huanza kuacha na kujifariji tayari wamezoeana na kujiridhisha kuwa hana UKIMWI na kuanza kula MZIGO kavu kavu,huwa najiuliza hivi MACHO na maelezo yake mafupi yatosha kuamini kuwa hana NGOMA na GITAA lake..?
Jamani wandugu tuwe makini UTAMU wa siku moja usije kukupa majuto ya maisha yako yote,pia kama mtu humwamini na una KIU na ile kitu tumia Condoms mwanzo mwisho,sio unapiga bao moja na Condom la pili umeshamwamini unavua Condom..Aisee hiyo ni KWERE...!! Kama unanyongeza ya ushauri nk karibu tushare experience..!!

Kama unavaa Condom ili usife mapema, utakuwa unajidanganya...!
كُلُّ نَفْسٍ ذَائِقَةُ الْمَوْتِ
‘Kila nafsi itaonja mauti’( TMQ 3:185)
 
Kama unavaa Condom ili usife mapema, utakuwa unajidanganya...!
Hata mimi najua kila nafsi itaonja umauti lakini my take ni kwamba kavu kavu ni rahisi mtu kupata ukimwi na magonjwa mengine ya zinaa hasa kama mtu anafanya SEX na mtu asiye mke/mume wake.
Kama wewe unaona kupiga kavu kavu ndio mpango mzima,please endelea "Kazi ni kwako"
 
ujumbe mzuri lakini unaingia akilini zaidi vidole vinapokua kwenye keyboard. lakini vikiwa juu ya ngozi ya mrembo sahau
Ha ha ha ha,kumbe si kwamba hamjali afya zenu sometimes mnachanganyikiwa tu jumla!!!!!!
 
Nina bifu sana na Mfumo Dume uliopo ambao umeingia hadi kwenye uandishi wetu wa sentensi za Kiswahili. Kwa mfano, vipi Uzi huu ungeandikwa kwa wale wenye Jinsi ya Kike na kuwa "... Kupigwa Kavukavu ni Noma?...", ujumbe usingefika?

Pamoja na Mfumo Dume, n.k. kwenye Uzi, Mdau Mleta Uzi, pata "Like" - Message sent, delivered and received!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom