kUpEnDa vYa bUrE

bampami

JF-Expert Member
Nov 5, 2011
5,697
4,107
Jamaa kaingia Bar; Jamaa: "Muhudumu, nipe
kinywaji na
mpe kila mtu humu ndani
kinywaji,
maana wakati napata
kinywaji lazima kila mtu apate kinywaji." Haraka sana
muhudumu akagawa
vinywaji, Jamaa: "Muhudumu nipe supu
na kila
mtu humu ndani mpe supu
maana
ninapokunywa supu kila mtu
lazima anywe supu." Watu wakapewa supu
tena safari hii wakapiga
makofi. Jamaa: "Muhudumu nipe bili,
na kila mtu
humu ndani mpe bili maana
wakati
nalipa bili yangu kila mtu
lazima alipe yake." Zogo lilianzia hapo sasa
 
Back
Top Bottom