Mungu wa Biblia hachangamani na "mila". Kifo cha Bwana Yesu Msalabani kilikomesha sadaka ya daima ya kuteketezwa, Danieli 12:11.Upuuzi mtupu, njaa ndio tatizo.
Hata kama Rais angekuwa jiwe,tukio hili bado lingetokea!Unavyowaza ni sawa na wale mabàbu zetu waliokuwa wakiona ndege angani wanajua ni hasira za mizimu,wanaenda kuchinja ng'ombe kuomba balsa lisiwaangukie!Kumbe ni teknolojia na sayansi!Afadhali hao kwasababu ilikuwa kitu kigeni kwao hivyo wakatafuta majawabu mepesi wakaona mizimu ndio inahusika!Ni kweli lakini kwanini kwa utawala wa JPM? Mungu kaamua kuielekeza hiyo elimu wakati wa utawala wa rais chaguo lake
Upuuzi mtupu, njaa ndio tatizo.
Kwa hiyo raisi atakayekuja kama jua halitapatwa raisi huyo atakuwa amekubaliwa na shetani?
Duh! Huyi ukimuuliza rais wa tz ni nani atakujibu ni Nyerere!ni kama lofa moja ata limewaaibisha wanyakyusa hati ati linaishukuru serikali ya ccm kwa kuwezesha solar eclipse kutokea mkoa wa mbeya.... kweli kukosa elimu ni mzigo.