Kupata pasipoti ya kusafiria

Mleta mada tunashukuru kwani na wengine tumeelimika,

Bandugu......hili section ya passport katika idara ya uhamiaji itupiwe macho kwa undani zaidi..........inabidi kuwe strict.......we must draw a line somewhere.......passport yetu kuipata ni "rahisi" mno mno
 
thankx too sir

na kama ulivyosema mimi nimeanza kufuatilia ya kwangu baada ya somo hili la wadau wa Jf nimekuta kuna urahisi wa kupata pasipoti tatizo ni bureaucracy ambayo kama si mvumilivu na muongeaji kweli utatoa kitu kidogo.
 
Wakuu wekeni tu hata njia ya panya wengi watafaidika tu, wengine mnajifanya mungu mtu wakati wenye nchi wanaficha mabilioni ya pesa uswisi sasa wenyewe hawajafanya njia za panya??mwenye uzoefu wa njia za panya amwagike tu hapaa....
 
Back
Top Bottom