Tafadhali naomba kujua gharama, mahitaji, mizunguko (sehemu za kupita) na mahitaji mengine kwenye kufuatilia hadi kupata pasipoti ya nchi yangu Tanzania.
Tafadhali
Tafadhali naomba kujua gharama, mahitaji, mizunguko (sehemu za kupita) na mahitaji mengine kwenye kufuatilia hadi kupata pasipoti ya nchi yangu Tanzania.
Tafadhali
Nakushauri nenda uhamiaji hapa hakuna wa kukujibu hilo swali kwani halina staha kwenye hili jamvi. tafadhali hapa paheshimu siyo pahali pake. Au wewe msomali nini? Unaogopa kutiwa mbaroni.Nedna wakusaidie uhamiaji.

Mkuu form ya kuombea pasipoti hii hapa chini,ina maelezo yote unayo yataka .
ADA: - TSh. 50,000/= Au USD 50 (Kwa Walio Nje ya Nchi)
TSh. 10,000/= Malipo Unapochukua Fomu
TSh. 40,000/= Malipo ya Mwisho
View attachment 5415
Taratibu za kupata passport zipo wazi kabisa, nenda ofisi ya uhamiaji iliyopo karibu nawe watakupa habari nzima. Inawezekana unajaribu kuulizia njia za panya, kwa nini? Hiyo ni haki yako, kama unakidhi vigezo. Tujaribu pia kufuata utaratibu.
Sipo take easy man naona umeumia mno kaka. Ppo tumeumbwa tofauti sana just take easy man na Umsamehe. Thanx for your post maana majibu sahihi yamepatkana nami nimenufaika kwa kujua taratibu.
bwa ha ha ha ha JF ina watu imebidi nicheke tu....Nakushauri nenda uhamiaji hapa hakuna wa kukujibu hilo swali kwani halina staha kwenye hili jamvi. tafadhali hapa paheshimu siyo pahali pake. Au wewe msomali nini? Unaogopa kutiwa mbaroni.Nedna wakusaidie uhamiaji.
Passpoti ni haki ya mwananchi, lakini usishangae kupigwa maswali kama unataka kwenda wapi au mwaliko uko wapi? Mchezo wa kungojea mpaka mtu apate safari ndio afukuzie passpoti wakati mwingine umechangia kwa kiasi kikubwa njia za mkato kuwa kama ndio official procedure. All the best.