Kupanda kwa thamani ya Tsh. dhidi ya Us. dola kunaashiria nini? (kutoka 1800---1584 within a month)

Katika wote walotoa maelezo hapo Dero ndo yuko right.Nadhani kitaaluma Dero utakuwa mchumi.Sababu zilizotolewa za watu kwenda Xmass hazina mashiko.Tuache siasa kwenye mambo tusoyajua.Naomba kuwakilisha!!
umeona eeh, wajuaji wengi humu alaf hawaoni hata aibu kuongea kwa confidence wasiyoyajua.
 
Thanks, ila nasubiri hiyo tarehe 15 january uliyosema. ila kitu kingine ambacho ungenisaidia, mbona watu hawarepoti kama kipindi sh ikishuka? au sisi tunaombeana mabaya tu? mbona naona kama jambo la aibu kwetu waTZ? au mnaonaje?

Hakuna cha Kutangaza hapo maana Shs Haijapanda thamani hata senti moja. sana sana inashuka tu ndo maana bei ya vitu enaendelea kupanda.

Biashara ya kuwekeza kwenye Dolla mwezi huu itakusaidia kuzalisha faida utakapobadili Dola kuwa Tsh mwakani Feb. Ki ukweli Dolla kwa sasa wanaoijua wanainunua sana, maana mwakani zitakapokuwa zinahitajika hazitokuwepo, zitakuwa mikononi mwa wajanja wachache hivyo kulazimisha thamani yake irudi kwenye 17xx.
 
Katika wote walotoa maelezo hapo Dero ndo yuko right.Nadhani kitaaluma Dero utakuwa mchumi.Sababu zilizotolewa za watu kwenda Xmass hazina mashiko.Tuache siasa kwenye mambo tusoyajua.Naomba kuwakilisha!!

Huwezi kupima kupanda au kushuka kwa thamani ya hela kwa kufuata notce za darasani, au kanuni za mazoea. Alichosema Duro ni applicable only wakati Nchi iko katika operation peak time, na sio wakati huu wa offpeak.


Ndo maana nakuambia subiri Januari unaona kama hiyo rate haijawa 16xx then Feb to march 17xx
 
wakuu simungeenda kule kwenye private? kwani mpaka muandike hapa kitu ambacho wengi hatukielewi? Ni vizuri kutumia busara kwa kila ulifanyalo.

Naungana na wewe, huyu jamaa nayeandika sijui kihaya sijui lugha gani haelewki kabisa, anafikiri kila mtu kabila lake
 
Kinachotokea ni kwamba Serikali kupitia BoT ime-release fresh dollars sokoni, kawaida BoT huwauzia bank na bank huwauzia individuals na makampuni, lakini kinachofanyika sasa BoT in awauzia individuals like Bureau de change kwa rate ya chini mno, mwisho wa siku bank nao wanalazimika kushusha rate (function of supply nad demand). Lakini hiki kinachofanyika si measurement nzuri ya ku-control exchange rate kwani mara nyingi haidumu, kwani BoT ina maximum foreign reserve haiwezi kuuza USD kila siku, at the same time kati ya wale wanouziwa kwa bei rahishi kuna wengine wanazifadhi wakisubiri BoT itakopoacha kurelease more USD wao wauze kwa bei ya juu. Serikali inatakiwa imaimarishe uuzaji nje bidhaa , yaani tuwe na more export than import, hii ni njia nzuri ya ku-control exchange rate.


...well said Dero, in addition to your valuable obsevation, kipindi hiki cha mwishoni mwa mwaka wafanyabiashara wengi wakubwa wanasaka TZS ili kulipa kodi TRA. Mfano mabenki yenye akiba kibao za forex inabidi waanze kuitafuta shilingi. Kwa kufanya hivyo demand ya shillingi inaongezeka and so is its price (Supply and Demand Theory).
 
sasa wachumi ina maana nichukue vilaki tano vyangu bank nikanunue dolla halafu nizifungie kwenye safe huku nikisubiri mwezi wa feb niziuze?naomba ufafanuzi jamani.
 
Ndo maana nakuambia subiri Januari unaona kama hiyo rate haijawa 16xx then Feb to march 17xx[/QUOTE]

Nadhani upo sahihi kwani sababu ulizotoa kiuchumi zinakubalika.Kuhusu suala la Duro kuwa ameandika notice za darasani ni kweli ila pia yupo sahihi kimtazamo kwamba Tanzania kuna mfumuko wa bei double digit so haiwezekani serikali ikawa inaliangalia suala hilo ikisubiri liji offset outomatic ,ndio maana akaelezea kuwa Central Bank kupitia Exchange rate ragime inajaribu kusolve hili tatizo la inflation,na mara nyingi njia hii inapotumika matokeo ya fedha za ndani kupanda thamani ukulinganisha na fedha za kigeni sio matokeo ya kushangaa.But atakuwa anadesa kama ulivyosem kwani kwa sio kweli kuwa B. De change zinakeep some amout of $ ili ku take advantage of future expectation mkt,forex bizness sio bizness ya nyanya.Nahisi kuwa BOT kuna shortage of foreign reserve,pia upo uwezekano kuwa BOT wamecreate artificial money supply for forex.
 
I wish ingefika 1000, At least maisha yangekuwa poa,
Jamani wale wenye magari mjiandae kabisa kwani kwa hali hiyo bei ya mafuta wiki ijayo itashuka kwa vyovyote vile.
Kama mnavyojua ikishuka tu, wenye vituo hawauzi!
 
sasa wachumi ina maana nichukue vilaki tano vyangu bank nikanunue dolla halafu nizifungie kwenye safe huku nikisubiri mwezi wa feb niziuze?naomba ufafanuzi jamani.

Mkuu Laki tano is too small for that business, maana hiyo ni kama $320 hivi, Watu wananunua $10000 and more try ur best.
 
The U.S. Federal Reserve, acting with five other central banks, took steps Wednesday to boost the troubled global financial system by making it cheaper for banks to trade in U.S. dollars.

The Fed --along with central banks of the eurozone, England, Japan, Switzerland and Canada --announced a coordinated plan to lower prices on dollar liquidity swaps beginning on December 5, and extending these swap arrangements to February 1, 2013. The effort is meant to "ease strains in financial markets," the Federal Reserve said in a press release.

Meanwhile, the People's Bank of China also announced a plan to increase liquidity Wednesday by lowering its reserve requirement ratio for financial institutions by half a percentage point.

U.S. stock futures surged after the announcement and European markets rose sharply.

CNN Breaking News

My take:

Dollar against TZS itashuka na hali ya uchumi wetu itapata ahueni?

nawakilisha

nilipost hili bandiko tarehe 13/12/2011 ,.. hii ndiyo sababu ya dollar kushuka
 
mkuu lakini umeangalia thamani ya dola juu ya currency nyingine kwa miezi miwili iliyopita kama vile Euro na Pound? Better ungekuwa na data. internet siunayo hebu bofya ndo utoe data zako hizo.
Ngwendu,wewe focus katka mada,wasikumbue kwa kuweka external language, Dollar imeshuka thamani kidogo sana,nahisi siyo juhudi za export bali ,bot wameona aibu,na lawama kwa mkuu wa kaya wameamua kufanya fake control ya inflation ambayo haiko sustained na export or production ya viwanda vyetu kwa umeme wa mgao uliopo..
soon dolar itakuwa Tsh 2500 kwa dola na hii ni within 6month

nshomile utawajua tu,kama sio kingreza basi kihaya,
very soon utawasikia
owo muka,
Rutatinisibwa infwakt aka kadolar kameanza kupungua vallue itabidi tufanye transactions kwa Euro anga e pound ,


 
kwa kuwa imepanda kipindi hiki karibu na holidays inawezekana wageni wengi wakiwamo diaspora/wabeba box, wanafunzi na watalii wanatembelea tz kama sehemu ya holiday kwa hiyo supply ya dola inakuwa kubwa wakati pia demand ya shilingi inaongezeka.

Sijui kama BOT wamepandisha base lending rate za mikopo ili kupunguza idadi ya ukopaji na hivyo kufanya shilingi kuwa scarce resource ambayo hupelekea thamani yake kuongezeka dhidi ya major currency. Kwa mfano CBK (kenya BOt=) walipandisha base lending rate mpaka 25% na kufanikiwa kupandisha thamani ya Kshs toka 100 mpaka 89 dhidi ya dola.

Pia yawezekana kuwa mauzo ya nje (export) yameongezeka haswa bidhaa za kilimo na madini na hivyo kuongeza uhitaji wa shilingi kwa wanunuzi wa nje.
 
mambo mengi watu waliochangia theoretically yanaukweli, lakini mi najiuliza kwa nini taasisi zetu haziko na uwazi,
Kama kuna infalation kwa nini BOT wasitoe tamko tukajua what is happening and what they plan to combat it?
Kama kuna ongezeko la thamani ya TZS, kwa nini wasitoe izo sababu ki uwazi kabisa?
I mean kuna uozo katikakati ya UBONGO, una tegemea mdomo utasema nini?
 
Thanks, ila nasubiri hiyo tarehe 15 january uliyosema. ila kitu kingine ambacho ungenisaidia, mbona watu hawarepoti kama kipindi sh ikishuka? au sisi tunaombeana mabaya tu? mbona naona kama jambo la aibu kwetu waTZ? au mnaonaje?
Umeleta mada nzuri ya kiuchumi lakini kwa bahati mbaya sana unaonekana kama una ajenda ya mipasho vile, kulikoni?

wakuu simungeenda kule kwenye private? kwani mpaka muandike hapa kitu ambacho wengi hatukielewi? Ni vizuri kutumia busara kwa kila ulifanyalo.
Busara ya mtu hupimwa kwa matendo yake.
 
Back
Top Bottom